Karungi baby girl
JF-Expert Member
- Oct 10, 2023
- 301
- 380
nikiwa kisumuUlifungua ukiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikiwa kisumuUlifungua ukiwa wapi?
hapana inboxDuuuh ebwanawee kwanini sio hapa hapa?
Lazima watakuepo tuHayo ndio mambo ya kuambiana ili vijana kusonga mbele. Ingependeza sana Stanbic na Absa wakaongeza Wigo mikoani maana ni kama wako miji mikubwa tu mfano Dsm.sidhani kama Absa wapo Dodoma.
Kila benki inawateja wakeHayo ndio mambo ya kuambiana ili vijana kusonga mbele. Ingependeza sana Stanbic na Absa wakaongeza Wigo mikoani maana ni kama wako miji mikubwa tu mfano Dsm.sidhani kama Absa wapo Dodoma.
Sidhani,nimewahi kuzunguka mjini na sijawahi kuiona aisee! Ngoja nikirudi tena huko nitafanyia kazi na KWa kuwa Niko Dar, nitafatilia kujua yaliyomo ni yapi Ktk huduma zao.Lazima watakuepo tu
karibuSidhani,nimewahi kuzunguka mjini na sijawahi kuiona aisee! Ngoja nikirudi tena huko nitafanyia kazi na KWa kuwa Niko Dar, nitafatilia kujua yaliyomo ni yapi Ktk huduma zao.
Chunga hela zako kijanaDuuuh ebwanawee kwanini sio hapa hapa?
bank zote hufanya hivyo.Vip kuhusu ongezeko la riba ukiwa una salio katika account