Naomba kuelekezwa kuhusu benki ya ABSA kutoa riba kila mwezi kutokana na salio lako na mikopo ya masharti mepesi

Naomba kuelekezwa kuhusu benki ya ABSA kutoa riba kila mwezi kutokana na salio lako na mikopo ya masharti mepesi

Hayo ndio mambo ya kuambiana ili vijana kusonga mbele. Ingependeza sana Stanbic na Absa wakaongeza Wigo mikoani maana ni kama wako miji mikubwa tu mfano Dsm.sidhani kama Absa wapo Dodoma.
Kila benki inawateja wake
1.NMB -wafanyakazi wa serikali
2.DTB- wahindi wafanyabiashara
3.Exim-hivyohivyo
4.stanchart -wafanyabiashara wakubwa na mabalozi na wafanyakazi wao EU, nk

Kwahiyo kila benki ina wateja wake na wanajua wapi wanawapata
 
Back
Top Bottom