Naomba kuelewa nikiwa na Masters nikaomba kazi yenye Qualification ya Bachelor

quantumQ

Senior Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
111
Reaction score
84
Mfano kwenye tangazo la ajira linataka Data Analyst ila kwenye qualification wameandika Bachelor degree ila mimi nina Masters

Je, nitakuwa disqualified kwa ku orodhesha kuwa ngazi yangu kubwa ya elimu ni Masters au katika kufanya maombi nisiseme kuwa nina Masters nionyeshe tu nina Bachelor (kitu ambacho itakuwa ni udanganyifu) ili kuweza ku secure hiyo nafasi

Pia nimepitia baadhi ya sehemu mtandaoni wanasema wakati mwingine waajiri wanaogopa kuwaajiri wenye ngazi kubwa ya elimu kwa kuwa wapo over qualified na hawataweza kuwalipa mshahara wanaostahili kutokana na bajeti yao (Ila mimi nipo tayari wanipe huo huo mshahara wa Bachelor ilimradi nikuze ujuzi wangu pia ni deliver results kwa mwajiri wangu)

Naomba msaada kufahamu how it works

Asante
 

Hizi masters za siku hizi bora PhD ya msukuma.

Sasa kama unatafuta experience na upo tayari kufanya kwa salary ya degree si uombe kwa kutumia degree tu?

Siku ukiondoka hapo, ndio utumie masters yako.

Note, hivi mnasomaje masters wakati hamna experience?

Masters si ubobevu sasa una bobea vipi kwenye kitu ambacho hauna experience nacho?
 
Inachekesha yaani mtu ana master hana kazi wakati mimi nimeajiriwa na diploma na mambonyanajipa millioni 2 kwa mwezi sikosi
 
Omba degree, usionyeshe kama una masters. By the way si kila mahali mtu mwenye masters analipwa pesa nyingi kuliko mwenye diploma au degree ya kwanza. Inategemea na kazi unayofanya. Ndo maana kuna sehemu unakuta mtu ana PhD lakini bosi wake ana masters. Au mtu ana masters lakini boss wake ana Bachalor.
 

Kazi ni private or government?
 

Wengi huwa wakimaliza degree wanaambiwa waunge masters na baba zao
 
Thanks for your reply

Kuhusu experience baada ya kumaliza Bachelor nimefanya kazi miaka 5 kwa software development ndio nikaenda kusoma Masters. Nilikuwa nazungumzia experience ya Data Analysis
 
Inachekesha yaani mtu ana master hana kazi wakati mimi nimeajiriwa na diploma na mambonyanajipa millioni 2 kwa mwezi sikosi
Thanks for your reply

Actually tangu nimemaliza Bachelor I was on the job (Software Engineering) for 5 years now paid more than that salary you are talking about. Na hata nilivyokuwa nasoma abroad nilikuwa naendelea kulipwa salary na bado ni mwajiriwa ila kuna nafasi za kazi zinazotoka za Data Science nataka ku apply kama opportunity ikitick ni shift job

Thanks
 
Shukran kwa response yako ndugu πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…