Naomba kuelewa nikiwa na Masters nikaomba kazi yenye Qualification ya Bachelor

Thanks for your reply

Kuhusu experience baada ya kumaliza Bachelor nimefanya kazi miaka 5 kwa software development ndio nikaenda kusoma Masters. Nilikuwa nazungumzia experience ya Data Analysis
Baada ya kusoma Degree ungesoma CCNA na CISA ndio uende masters, masters sio professional,
 
Naona umeamua kuongea kizungu ili umuipruvu rongi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thanks for your reply

Kuhusu experience baada ya kumaliza Bachelor nimefanya kazi miaka 5 kwa software development ndio nikaenda kusoma Masters. Nilikuwa nazungumzia experience ya Data Analysis
Experience ndio itakubeba na sio masters
 
Thanks for your reply

Kuhusu experience baada ya kumaliza Bachelor nimefanya kazi miaka 5 kwa software development ndio nikaenda kusoma Masters. Nilikuwa nazungumzia experience ya Data Analysis
Inafikirisha,

Hili swali lako hawezi kuuliza mtu mwenye 5 years experience +masters, that's too low.
 
Aisee!
 
Usipoteze nguvu,hata hakuelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku mitandaoni mtu ana certificate tu ila anamfokea mwenye masters

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…