Naomba kueleweshwa inakuaje kwenye selection za form five kuna baadhi ya wanafunzi wamepangiwa Combination ya PMCs na hawajasoma Computer kabisa

Urban Edmund

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
2,275
Reaction score
3,673
Jamani naomba nipate maelezo ya kina imekuwaje baadhi ya wanafunzi wamepangiwa somo la computer kwenye combination ya advance kwenye michepuo wa PMCs ilhali o level hawakuwahi kusoma Computer ufafanuzi tafadhali
 
Mimi sioni cha ajabu hapo. Wakati wa karne ya ishirini computer science majors wote chuo kikuu walikuwa hawakusoma computer science O’level wala A’level.

Hata upande wa business mpaka leo kuna business majors ambao hawakusoma masomo ya biashara anywhere kabla ya kwenda chuo kikuu.
 
Jamani naomba nipate maelezo ya kina imekuwaje baadhi ya wanafunzi wamepangiwa somo la computer kwenye combination ya advance kwenye michepuo wa PMCs ilhali o level hawakuwahi kusoma Computer ufafanuzi tafadhali
Kwani wanaopangiwa EGM au ECA wanakuwa lazima wamesoma Economic au Accounting? Si wakifaulu tu Geoography na Mathematics wanapangwa?....hiiyo PMC wanaangalia ufaulu wa Physics na Mathematics
 
updated.png
 
Back
Top Bottom