Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,275
- 3,673
Mimi sioni cha ajabu hapo. Wakati wa karne ya ishirini computer science majors wote chuo kikuu walikuwa hawakusoma computer science O’level wala A’level.Jamani naomba nipate maelezo ya kina imekuwaje baadhi ya wanafunzi wamepangiwa somo la computer kwenye combination ya advance kwenye michepuo wa PMCs ilhali o level hawakuwahi kusoma Computer ufafanuzi tafadhali
Kwani wanaopangiwa EGM au ECA wanakuwa lazima wamesoma Economic au Accounting? Si wakifaulu tu Geoography na Mathematics wanapangwa?....hiiyo PMC wanaangalia ufaulu wa Physics na MathematicsJamani naomba nipate maelezo ya kina imekuwaje baadhi ya wanafunzi wamepangiwa somo la computer kwenye combination ya advance kwenye michepuo wa PMCs ilhali o level hawakuwahi kusoma Computer ufafanuzi tafadhali
Safi kabisa nilikua sijui ningejua ningemjazia PMC badala ya PCMKwani wanaopangiwa EGM au ECA wanakuwa lazima wamesoma Economic au Accounting? Si wakifaulu tu Geoography na Mathematics wanapangwa?....hiiyo PMC wanaangalia ufaulu wa Physics na Mathematics
Now check it, sijaelewa ulichokiandika hapoSafi kabisa nilikua sijui ningejua ningemjazia PMC badala ya PCM
Ningejua mapema badala ya kumjazia kwenye selform za Tamisemi ningemjazia dogo PMC (Phyz, math na Computer) badala ya PCMNow check it, sijaelewa ulichokiandika hapo