Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Baada ya kuhisi homa za mara kwa mara kwa kipindi kirefu kuumwa kichwa,viungo kukosa nguvu kupata kichefuchefu mda mrefu nikaenda hosptal nikapimwa mkojo upo sawa,skar ipo sawa,presha ipo sawa doctor akanambia nina damu nyingi ambayo ni 16.5 akaniomba niende kuchangia ili kuondoa hali hii inayonitesa naomba kuuliza damu ya 16.5 kwa mwanmme tena ambae nimeshaowa ni nyingi?