Naomba kueleweshwa kuhusu wingi wa damu je damu ya 16.5 kwa mwanamme ni nyingi au kawaida?

Baada ya kuhisi homa za mara kwa mara kwa kipindi kirefu kuumwa kichwa,viungo kukosa nguvu kupata kichefuchefu mda mrefu nikaenda hosptal nikapimwa mkojo upo sawa,skar ipo sawa,presha ipo sawa doctor akanambia nina damu nyingi ambayo ni 16.5 akaniomba niende kuchangia ili kuondoa hali hii inayonitesa naomba kuuliza damu ya 16.5 kwa mwanmme tena ambae nimeshaowa ni nyingi?

1: Kuwa na damu ya 16.5g/dl si jibu sahihi la damu muwa nyingi. Hapo ni mpaka kujua mashine iliyotumika wastani wake wa kawaida ni upi? Mashine nyungine ni 10-15,nyingine 14-17 nk.

2: Damu kuwa kwenye kiasi kingi pia hutegemea na eneo ulilopo, hivyo inaweza kuwa hali ya kawaida:
mfano:
A: watu wanaoishi milimani ambako partial presha ya oksijeni ni ndogo, huwa na damu nyingi.
B: watu wanaofanya maziezi kama wanariadha, huwa na damu nyingi nk.

3: Tafsiri ya kiasi cha damu pia huweza kuonekana kuwa nyingi kama unaumwa na haunywi maji ya kutosha(haem-concentration)

4: Damu nyingi haileti homa, hivyo kuna uwezekano wa shida nyingine zaidi ya kiasi cha damu. Hivyo, kuhitaji vipimo zaidi.

NB: Ni vyema kufatilia vyema afya yako kwa kwenda hatua ya juu zaidi kwa kiwango cha kituo cha afya au kwa mtoa huduma.
 
Haya maelezo yashanichanga kiasi cha kuanza kujiuliza yafuatayo;
1. damu nyingi ni ngapi?
2. damu ndogo ni ngapi?

Maana inaonekana;

1. mashine za kupimia zinaweza zikakupa kiwango tofauti cha damu uliyonayo kwenye mazingira yaleyale
2. Mazingira tofauti yanaweza kukupa kiwango tofauti cha damu kwa kupimwa na mashine ile ile.
3. Ukibadili mazingira na mashine ndo hatari kabisa
 
Sawa mkuu nitajitahidi kufatilia kwa kiwango cha juu
 
Haya maelezo yashanichanga kiasi cha kuanza kujiuliza yafuatayo;
1. damu nyingi ni ngapi?
2. damu ndogo ni ngapi?

Maana inaonekana;

1. mashine za kupimia zinaweza zikakupa kiwango tofauti cha damu uliyonayo kwenye mazingira yaleyale
2. Mazingira tofauti yanaweza kukupa kiwango tofauti cha damu kwa kupimwa na mashine ile ile.
3. Ukibadili mazingira na mashine ndo hatari kabisa

Soma kwa umakini:

1: Kila aina ya mashine ya kampuni moja au nyingine, inatengenezwa na refence range yake(kiwango cha uwiano kuonyesha damu) tofauti.
Mashine inayokupa namba, nama ile itafsiri kwa kuangalia uwiano/reference range uliyopewa hapo kwenye mashine.

Mfano: kuna zenye kuonyesha (11-15)g/dl ni sawa, (12-16) na kuna inayoonesha (14-17)g/dl ni sawa au zaidi ya viwango hivyo.

Kwa mfano huu, unaweza kupima mashine ya aina moja Arusha ikakuonyesha una damu 12g/dl, huwezi kusema ni nyingi au kidogo mpaka ujue hii mashine inatumia uwiano/reference ipi? (11-15)g/dl au (14-17)g/dl??

Hivyo, usishangae namba ya kiasi cha damu mpaka ujue kwanza je mashine zako ni aina moja au tofauti?(zinatumia reference namba aina moja?

Kwa mifano hiyo:
A: (11-15)g/dl: Ukiwa chini ya 11g/dl ni ndogo na ukiwa juu ya 15g/dl ni nyingi.

B: (14-17)g/dl: Ukiwa chini ya 14 ni kidogo na ukiwa juu ya 17 ni nyingi.

NB: Tafsiri si namba uliyopima tu bali reference ya mashine, hivyo kumpa mtu namba peke yake si vyema sana kuisemea.

2: Suala la kuhama sehemu ni suala la kuishi au kukaa kwa muda mrefu sehemu moja si la siku moja.

A: Mtu aliyeko/anaishi Dar es salaam/Tanzania, anapata oksijeni kirahisi kwa kuwa yuko kwenye usawa wa bahari/mgandamizo mkubwa. Hivyo, damu huwa ni ya kiwango cha wastani(13/14)g/dl kwa mashine ya (14-17)g/dl.

B: Watu wanaoishi milimani, kule oksijeni haipatikani kirahisi kwa sababu ya mgandamizo mdogo. Hivyo, mwili huzalisha chembechembe za damu nyingi kufidia hilo. Unaweza kuwakuta na damu ya (17/18)g/dl kwa mashine ya (14-17)g/dl

Soma kitu kinaitwa ACCLIMATIZATION
 
Soma kwa umakini:

1: Kila aina ya mashine ya kampuni moja au nyingine, inatengenezwa na refence range(kiwango cha kuonyesha damu) tofauti.

Mfano: kuna zenye kuonyesha (11-15) ni sawa, (12-16) na kuna inayoonesha (14-17) ni sawa au zaidi ya hapo viwango hivyo.

Kwa mfano huu, unaweza kupima mashine ya aina moja Arusha ikakuonyesha una damu 12, huwezi kusema ni nyingi au kidogo mpaka ujue hii mashine inatumia reference ipi? 11-15 au 14-17??

Hivyo, usishangae namba ya kiasi cha damu mpaka ujue kwanza je mashine zako ni aina moja au tofauti?(zinatumia reference namba aina moja?

Kwa mifano hiyo:
A: 11-15: Ukiwa chini ya 11 ni ndogo na ukiwa juu ya 15 ni nyingi.

B: 14-17: Ukiwa chini ya 14 ni kidogo na ukiwa juu ya 17 ni nyingi.

NB: Tafsiri si namba uliyopima tu bali reference ya mashine, hivyo kumpa mtu namba peke yake si vyema sana kuisemea.

2: Suala la kuhama sehemu ni suala la kuishi au kukaa kwa muda mrefu sehemu moja si la siku moja.

A: Mtu aliyeko Dar es salaam/Tanzania, anapata oksijeni kirahisi kwa kuwa yuko kwenye usawa wa bahari/mgandamizo mkubwa. Hivyo, damu huwa ni ya kiwango cha wastani.

B: Watu wanaoishi milimani, kule oksijeni haipatikani kirahisi kwa sababu ya mgandamizo mdogo. Hivyo, mwili huzalisha chembechembe za damu nyingi kufidia hilo.

Soma kitu kinaitwa ACCLIMATIZATION
Hivi, hizo machine, hazipo standardized worldwide??? Kwa mfano, combination spanner number 15 (spana namba 15), ni ile ile popote duniani. Haya mambo ya kila mtu ana range yake ndo yanayonichanganya. Kwamba two different machine, zinaweza zikakupa two different readings kwa mtu huyo huyo akiwa eneo hilo hilo.
 
Hazi

Haziko hivyo, hapo ni mpaka ziwe na njia na mashine aina moja ya kuchakata/ kuhesabu/kufanya kazi. Ndo maana wakikuletea mashine wanakupa na manual/kitabu cha mashine husika pia ndani ya mashine inatambua na kuonyesha hilo. Na kila siku unatakiwa kufanya quality control kuhakikisha mashine yako inakupa majibu ndani ya wigo husika.
 
OK. Is it quality control OR calibration by certified personnel?
 
Wasabato
1000414289.jpg
 
OK. Is it quality control OR calibration by certified personnel?
Quality control/inafanywa na anaetumia mashine(laboratory personnel, hufanyi calibration. Unaangalia kama inafikia viwango/PASS.

Calibration inakuja baadae kama haijafikia viwango na inafanywa na huyo certified personnel.
 
Back
Top Bottom