Wataalamu mkujeni mtoe msaadaWataalamu wa kodi za magari naomba nieleweshwe kidogo juu ya hotuba ya Jana ya mawasilisho ya budget ya serikali kwa mwaka 2023 /2024.
Moja wapo ya kipengele ni magari yanayotumia umeme na gesi kusamehewa kodi
Pili kuna hii ya magari yenye kuanzia 1000 cc hadi 2000cc kutozwa ushuru wa 5% na 2000c ushuru 10% je waziri alimaanisha nini hapa.
Je, ni kodi mpya imeongezwa kwa aliyeagiza gari au kodi iliyokuwepo imepunguzwa. Na kama imeongezeka je inaashiria magari ya kuagiza yatapanda bei au kama imepinguzwa kwa 5% bei ya VAT kwenye mkeka wa TRA kwenye calculator yao itapunguza gari kodi?
Anamaanisha kwamba kodi imeongezeka kwa 5% na 10% mtawalia (respectively).Wataalamu wa kodi za magari naomba nieleweshwe kidogo juu ya hotuba ya Jana ya mawasilisho ya budget ya serikali kwa mwaka 2023 /2024.
Moja wapo ya kipengele ni magari yanayotumia umeme na gesi kusamehewa kodi
Pili kuna hii ya magari yenye kuanzia 1000 cc hadi 2000cc kutozwa ushuru wa 5% na 2000c ushuru 10% je waziri alimaanisha nini hapa.
Je, ni kodi mpya imeongezwa kwa aliyeagiza gari au kodi iliyokuwepo imepunguzwa. Na kama imeongezeka je inaashiria magari ya kuagiza yatapanda bei au kama imepinguzwa kwa 5% bei ya VAT kwenye mkeka wa TRA kwenye calculator yao itapunguza gari kodi?
Itakuhusu, jiandae.Mi niongezee swali. Hii kodi itanihusu mimi ambaye nimegiza gari tayar ila litafika nchini mwishoni mwa mwezi wa 7 huko??
Nilijaribu kumwuliza manager wa TRA akanambia ongezeko hili haliwahusu wale ambao wameshaagiza gariItakuhusu, jiandae.
Hakuna unafuu, wanamaanisha kodi ya awali let say 5,000,000/= now utaongeza 5% yake so utalipa 5,250,000/=
Tusaidie kidogo hapo....akikosea kufeed data....Hesabu umetoa wapi hizi mkuu[emoji28]
Tumia calculator ya TRA kujua kodi
Then jua kuna port charges zitaongeka kulingana na aina ya gari.lkn pia tafuta clearing agent mwenye uzoefu maana akikosea kufeed data kodi lazima ije kubwa
Naomba kuchangia kidogo hapa, watu wengi ambao wanaagiza magari ulaya na Japan kuja Tanzania hua wanatumia calculation ya TRA Kama kielelezo Cha kuamini hiyo ndio Kodi anayopaswa kulipa, lakini jibu sahihi ni hapana, Ile calcultor inatumika kama reference tu hivyo unaweza kufika hapa nchini, Kodi ikabakia hiyo hiyo au lah ikapadaHesabu umetoa wapi hizi mkuu[emoji28]
Tumia calculator ya TRA kujua kodi
Then jua kuna port charges zitaongeka kulingana na aina ya gari.lkn pia tafuta clearing agent mwenye uzoefu maana akikosea kufeed data kodi lazima ije kubwa
Hili swali limejibiwa mara nyingi sana humu. Endapo CIF kwenye calculator ya TRA itakuwa juu ya CIF ya gari unalonunua, CIF ya TRA ndio itatumika kukadiria kodi (utalipa inayoonekana kwenye calculator). Iwapo CIF ya gari unalonunua ni kubwa kuliko CIF ya kwenye kikokotoo cha TRA, tegemea ushuru kupanda. Hesabu hupigwa upya kutumia CIF yako.Swali la kikodi la nyongeza, CIF Price inayotumika Ukienda kuangalia makadirio ya Kodi katika kuagiza Gari je itatumika kama ilivo hata kama original document za manunuzi zinazoonye CIF iko chini? je watatumia CIF price ipi kunikadiria kodi?
Hili swali limejibiwa mara nyingi sana humu. Endapo CIF kwenye calculator ya TRA itakuwa juu ya CIF ya gari unalonunua, CIF ya TRA ndio itatumika kukadiria kodi (utalipa inayoonekana kwenye calculator). Iwapo CIF ya gari unalonunua ni kubwa kuliko CIF ya kwenye kikokotoo cha TRA, tegemea ushuru kupanda. Hesabu hupigwa upya kutumia CIF yako.
Swali la kikodi la nyongeza, CIF Price inayotumika Ukienda kuangalia makadirio ya Kodi katika kuagiza Gari je itatumika kama ilivo hata kama original document za manunuzi zinazoonye CIF iko chini? je watatumia CIF price ipi kunikadiria kodi?
Classified information 😁 nakupata vizuri sana.Unachosema ni sahihi 100%
Na hapo ndipo kazi ya Clearing&Forwading agent mzoefu inaonekana [emoji28],narudia tena inaweza isiongezeke hata mia hata kama CIF ni kubwa kuliko ya kene calculator sitaki maswali zaidi kene hili[emoji16][emoji16]
Unatusaidiaje ambao hatukukuelewa?