Naomba kueleweshwa kwa wataalamu wa kodi za kuingiza magari nchini

Naomba kueleweshwa kwa wataalamu wa kodi za kuingiza magari nchini

Wataalamu wa kodi za magari naomba nieleweshwe kidogo juu ya hotuba ya Jana ya mawasilisho ya budget ya serikali kwa mwaka 2023 /2024.

Moja wapo ya kipengele ni magari yanayotumia umeme na gesi kusamehewa kodi

Pili kuna hii ya magari yenye kuanzia 1000 cc hadi 2000cc kutozwa ushuru wa 5% na 2000c ushuru 10% je waziri alimaanisha nini hapa.

Je, ni kodi mpya imeongezwa kwa aliyeagiza gari au kodi iliyokuwepo imepunguzwa. Na kama imeongezeka je inaashiria magari ya kuagiza yatapanda bei au kama imepinguzwa kwa 5% bei ya VAT kwenye mkeka wa TRA kwenye calculator yao itapunguza gari kodi?
Japo ni mada ya mda mrefu kidogo around end of June, 2023, nimepitia majibu sijaona jibu la ufasaha.
Iko hivi mkuu, ushuru wa bidhaa (Excise Duty) ambao awali ulikua unatozwa kwa asilimia 5 mpaka 10 kutegemea ukubwa wa engine kwa magari yanayotumia umeme na gas, kuanzia July Mosi, 2023 yalianza kutozwa Excise Duty 0%.
Kwa magari yanayotumia petrol/diesel, ushuru wa Excise Duty utaendelea kutozwa kwa asilimia 5 mpaka 10 kutegemea na ukubwa wa engine. Hivyo hakuna kodi iliyoongezwa/punguzwa kwa magari yanayotumia petrol/diesel. Kwa magari yanayotumia umeme tu ndo kodi imepugua kwa kuondoa ushuru wa bidhaa (Excise Duty).

Kwa huduma bora zifuatazo karibu Ruaha Freight Ltd;
1. Clearing & Forwarding kwa mizigo aina yote,
2. Kusaidia kuhamisha umiliki wa vyombo vya moto (Motor vehicle ownership transfer-kwa wateja wa Dar tu)

Wasiliana nasi;

Ruaha Freight Ltd,
Umati building 3rd Floor, Room No 18 Samora Avenue / zanaki street Dar es Salaam. P.O.Box 62442
Dar es Salaam
.
Email: info@ruahafreight.com
Website: www.ruahafreight.com
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp).''
 
Na kama utaweza kutusaidia agent mzuri atakuwa amesaidia wengi na amepata biashara
Agent mwaminifu, huduma bora na ufanisi napatikana kwa anuanu ifuatayo;

Ruaha Freight Ltd,
Umati building 3rd Floor, Room No 18 Samora Avenue / zanaki street Dar es Salaam. P.O.Box 62442
Dar es Salaam
.
Email: info@ruahafreight.com
Website: www.ruahafreight.com
Tel: +255222128447

Mob: +255718 866 651 (call or whatsapp).
 
Back
Top Bottom