Naomba kueleweshwa: Makamu wa Rais ana nafasi gani katika nchi?

MIHAYO1710

Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
23
Reaction score
59
Naomba kueleweshwa.
Makamu wa rais ana nafasi gani katika nchi?

👉Anahamasisha wananchi wapambane na nani ili kupata katiba mpya?

👉Wanasiasa Wanaoishi mahabusu na magereza Leo siyo kwa sababu ya wimbo wa katiba mpya?
👉Yeye siyo makamu wa rais kutoka chama kilichoahidi katiba mpya ndani ya siku 100?

👉Kama ni wao waliahidi katiba ndani ya siku 100, iweje sisi tupambanie tena? kwa hiyo anamaanisha serikali yake imeshindwa?

👉OK, tumekubali kupambania katiba mpya, tutatumia njia zipi ambazo CCM, Na yeye kama makamu wa rais wahataziona kama "Ugaidi"?

UKWELI WANGU.

Ni vigumu sana mimi kuziamini sera za Mungu, zinazohubiriwa na shetani. Shetani akihubiri haki, uadilifu na amani ujue kuna mtego hapo.🚮🚮🚮

1784897803956.jpg
 
Umeandika vizuri sana
 
Katika uwanja wa mapambano kuna kanuni moja inasema
"Everyone is potentially controlled" kwa mujibu wa hii kanuni ni kuwa kila mtu anawaza kuwa asset muda wowote.
Kwahiyo vijana musipende kuchukulia binadamu kama kiumbe aliyekuwa programmed kama Computer kwamba hawezi kubadilika na kuwaza tofauti.
 
UKWELI WANGU.

Ni vigumu sana mimi kuziamini sera za Mungu, zinazohubiriwa na shetani. Shetani akihubiri haki, uadilifu na amani ujue kuna mtego hapo.🚮🚮🚮

​
Kwanza unapaswa uwe umejihakikishia kwamba unaemwita shetani huku akihubiri sera za Mungu ni shetani kweli, sio kwamba ni wewe umefanya mistaken identity. Kwa sababu ikiwa ni Mungu anahubiri sera za Mungu, na wewe ukamwita shetani kimakosa huku ukiona wazi anahubiri sera za Mungu, basi dhambi yako haina msamaha.

Yesu alisema hili waziwazi. Ikiwa unaona kazi za roho ya Mungu zinafanyika, na wewe ukaamua kuziita ni kazi za roho ya uovu, huna msamaha juu ya dhambi yako.
 
Nchimbi sio miongoni mwa kile kikundi cha wahuni kilichotajwa na balozi polepole.....hiki kikundi ndo kinachokwamisha mchakato wa kupata katiba mpya...Hii nchi haiongozwi na samia samia ni kama pazia tu au kivuli hii nchi ipo chini ya mikono ya wahuni katika mfumo ambao kapteni tesha aliuita kama "Deep state"....Ni mpaka nguvu ya umma itakapoweza kupambana na hiki kikundi haramu cha wahuni kikiongozwa na raisi mtahafu kikwete ndio mabadiriko ya kweli yatapatikana katika taifa ikiwepo katiba mpya.. na hii sio kazi ya nchimbi peke yake watanzania wote tuamke tupambe kubadilish mifumo kandamizi
 
Naomba kueleweshwa.
Makamu wa rais ana nafasi gani katika nchi?

👉Anahamasisha wananchi wapambane na nani ili kupata katiba mpya?

👉Wanasiasa Wanaoishi mahabusu na magereza Leo siyo kwa sababu ya wimbo wa katiba mpya?
👉Yeye siyo makamu wa rais kutoka chama kilichoahidi katiba mpya ndani ya siku 100?

👉Kama ni wao waliahidi katiba ndani ya siku 100, iweje sisi tupambanie tena? kwa hiyo anamaanisha serikali yake imeshindwa?

👉OK, tumekubali kupambania katiba mpya, tutatumia njia zipi ambazo CCM, Na yeye kama makamu wa rais wahataziona kama "Ugaidi"?

UKWELI WANGU.

Ni vigumu sana mimi kuziamini sera za Mungu, zinazohubiriwa na shetani. Shetani akihubiri haki, uadilifu na amani ujue kuna mtego hapo.🚮🚮🚮

Tlaatlaah ana majibu ya maswali yako!
 
Kwanza unapaswa uwe umejihakikishia kwamba unaemwita shetani huku akihubiri sera za Mungu ni shetani kweli, sio kwamba ni wewe umefanya mistaken identity. Kwa sababu ikiwa ni Mungu anahubiri sera za Mungu, na wewe ukamwita shetani kimakosa huku ukiona wazi anahubiri sera za Mungu, basi dhambi yako haina msamaha.

Yesu alisema hili waziwazi. Ikiwa unaona kazi za roho ya Mungu zinafanyika, na wewe ukaamua kuziita ni kazi za roho ya uovu, huna msamaha juu ya dhambi yako.
kula kinywaji ukipendacho mkuu, popote ulipo. usilipe.

umenena jambo moja kubwa sana.
 
Back
Top Bottom