Naomba kueleweshwa: Makamu wa Rais ana nafasi gani katika nchi?

Naomba kueleweshwa: Makamu wa Rais ana nafasi gani katika nchi?

Kwanza unapaswa uwe umejihakikishia kwamba unaemwita shetani huku akihubiri sera za Mungu ni shetani kweli, sio kwamba ni wewe umefanya mistaken identity. Kwa sababu ikiwa ni Mungu anahubiri sera za Mungu, na wewe ukamwita shetani kimakosa huku ukiona wazi anahubiri sera za Mungu, basi dhambi yako haina msamaha.

Yesu alisema hili waziwazi. Ikiwa unaona kazi za roho ya Mungu zinafanyika, na wewe ukaamua kuziita ni kazi za roho ya uovu, huna msamaha juu ya dhambi yako.
Hili ni chezo Mkuu. Wameona wapooze agenda ya CHADEMA ya Katiba mpya na Free Lissu kinamna hiyo!.

Alitakiwa aje atuambie kwanini yeye na Boss wake hawajaanza mchakato wa hiyo Katiba mpya ndani ya siku 100 kama alivyoahidi
 
Tlaatlaah ana majibu ya maswali yako!
Gentleman,
hilo ni rahisi mno na kwa uchache tu ni kwamba,

Makamu wa Rais ndio msaadizi mkuu wa Rais wa JMT, mwenye wajibu wa kikatiba wa kumsadia Rais kutekeleza majukumu mbalimbali ya kuunda serikali, kuongeza za chini na kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.

Lakini pia
Makamu wa Rais,
anawajibika kumsaidia Rais katika masuala ya Muungano,

Zaidi sana anawajibika kutekeleza majukumu yote maalumu atakayopangiwa na Rais wa JMT,

Anawajibika kukaimu nafasi ya Rais, hususani pale ambapo Rais anapokua hayupo au kwasababu yoyote ile ameshindwa kutekeleza majukumu ya Rais,

Makamu wa Rais pia,
anawajibika kushughulikia masuala ya mazingira na siasa katika kumsaidia Rais lakini pia kama wajibu wake wa kikatiba 🐒
 
Kwanza unapaswa uwe umejihakikishia kwamba unaemwita shetani huku akihubiri sera za Mungu ni shetani kweli, sio kwamba ni wewe umefanya mistaken identity. Kwa sababu ikiwa ni Mungu anahubiri sera za Mungu, na wewe ukamwita shetani kimakosa huku ukiona wazi anahubiri sera za Mungu, basi dhambi yako haina msamaha.

Yesu alisema hili waziwazi. Ikiwa unaona kazi za roho ya Mungu zinafanyika, na wewe ukaamua kuziita ni kazi za roho ya uovu, huna msamaha juu ya dhambi yako.
Mkuu Una ufahamu wowote kuhusu lugha ya kifasihi au lugha ya picha? Usilazimishe kila sentensi ikae kwa kiwango cha uelewa wa kidini.
 
Kukaimu kiti Cha urais, rais anapokufa, kuwa nje ya nchi nk, kuhamasisha umwagiliaji na upandaji wa miti pamoja na kutunza mazingira...

Na maigizo anayoyafanya hivi sasa
 
Mkuu Una ufahamu wowote kuhusu lugha ya kifasihi au lugha ya picha? Usilazimishe kila sentensi ikae kwa kiwango cha uelewa wa kidini.
Wewe mtu wa ajabu sana usiejua usemalo. Umetoa thread katika context ya kidini, na unapojibiwa katika context ya kidini unasema mtu asilazimishe kila sentensi ikae kiwango cha uelewa wa kidini? Au wewe kwako unapotamka Mungu na shetani sio katika uelewa wa kidini?

Watu wengine bwana, tatizo lenu la elimu duni mnataka wote tuwe kama nyie. Umeliokota libebe basi.
 
Ndio unaona umuhimu w kuoji leo? Peleka moto mzee w BOMBI NYUMBI.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom