MIHAYO1710
Member
- Apr 7, 2018
- 23
- 59
Umeandika vizuri sanaNaomba kueleweshwa.
Makamu wa rais ana nafasi gani katika nchi?
👉Anahamasisha wananchi wapambane na nani ili kupata katiba mpya?
👉Wanasiasa Wanaoishi mahabusu na magereza Leo siyo kwa sababu ya wimbo wa katiba mpya?
👉Yeye siyo makamu wa rais kutoka chama kilichoahidi katiba mpya ndani ya siku 100?
👉Kama ni wao waliahidi katiba ndani ya siku 100, iweje sisi tupambanie tena? kwa hiyo anamaanisha serikali yake imeshindwa?
👉OK, tumekubali kupambania katiba mpya, tutatumia njia zipi ambazo CCM, Na yeye kama makamu wa rais wahataziona kama "Ugaidi"?
UKWELI WANGU.
Ni vigumu sana mimi kuziamini sera za Mungu, zinazohubiriwa na shetani. Shetani akihubiri haki, uadilifu na amani ujue kuna mtego hapo.🚮🚮🚮
Kukata utepe tuNaomba kueleweshwa.
Makamu wa rais ana nafasi gani katika nchi?
Baada ya kusoma hiki ndicho ulichoelewa hapa? Hii nchi imebeba mizigo mingi aiseeHaya hiki ulichoandika maana yake ndiyo unapambana upate katiba mpya
Makamu wa raisi ni makamu wa raisi, sio raisi. Ukielewa hili basi yamekwishaNaomba kueleweshwa.
Makamu wa rais ana nafasi gani katika nchi?
MIhayo acha kupoteza muda wako. Sio kwamba hawajui wanachokifanya au kuongea.👉OK, tumekubali kupambania katiba mpya, tutatumia njia zipi ambazo CCM, Na yeye kama makamu wa rais wahataziona kama "Ugaidi"?
Kwanza unapaswa uwe umejihakikishia kwamba unaemwita shetani huku akihubiri sera za Mungu ni shetani kweli, sio kwamba ni wewe umefanya mistaken identity. Kwa sababu ikiwa ni Mungu anahubiri sera za Mungu, na wewe ukamwita shetani kimakosa huku ukiona wazi anahubiri sera za Mungu, basi dhambi yako haina msamaha.UKWELI WANGU.
Ni vigumu sana mimi kuziamini sera za Mungu, zinazohubiriwa na shetani. Shetani akihubiri haki, uadilifu na amani ujue kuna mtego hapo.🚮🚮🚮
Tlaatlaah ana majibu ya maswali yako!Naomba kueleweshwa.
Makamu wa rais ana nafasi gani katika nchi?
👉Anahamasisha wananchi wapambane na nani ili kupata katiba mpya?
👉Wanasiasa Wanaoishi mahabusu na magereza Leo siyo kwa sababu ya wimbo wa katiba mpya?
👉Yeye siyo makamu wa rais kutoka chama kilichoahidi katiba mpya ndani ya siku 100?
👉Kama ni wao waliahidi katiba ndani ya siku 100, iweje sisi tupambanie tena? kwa hiyo anamaanisha serikali yake imeshindwa?
👉OK, tumekubali kupambania katiba mpya, tutatumia njia zipi ambazo CCM, Na yeye kama makamu wa rais wahataziona kama "Ugaidi"?
UKWELI WANGU.
Ni vigumu sana mimi kuziamini sera za Mungu, zinazohubiriwa na shetani. Shetani akihubiri haki, uadilifu na amani ujue kuna mtego hapo.🚮🚮🚮
kula kinywaji ukipendacho mkuu, popote ulipo. usilipe.Kwanza unapaswa uwe umejihakikishia kwamba unaemwita shetani huku akihubiri sera za Mungu ni shetani kweli, sio kwamba ni wewe umefanya mistaken identity. Kwa sababu ikiwa ni Mungu anahubiri sera za Mungu, na wewe ukamwita shetani kimakosa huku ukiona wazi anahubiri sera za Mungu, basi dhambi yako haina msamaha.
Yesu alisema hili waziwazi. Ikiwa unaona kazi za roho ya Mungu zinafanyika, na wewe ukaamua kuziita ni kazi za roho ya uovu, huna msamaha juu ya dhambi yako.