StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Hili ni chezo Mkuu. Wameona wapooze agenda ya CHADEMA ya Katiba mpya na Free Lissu kinamna hiyo!.Kwanza unapaswa uwe umejihakikishia kwamba unaemwita shetani huku akihubiri sera za Mungu ni shetani kweli, sio kwamba ni wewe umefanya mistaken identity. Kwa sababu ikiwa ni Mungu anahubiri sera za Mungu, na wewe ukamwita shetani kimakosa huku ukiona wazi anahubiri sera za Mungu, basi dhambi yako haina msamaha.
Yesu alisema hili waziwazi. Ikiwa unaona kazi za roho ya Mungu zinafanyika, na wewe ukaamua kuziita ni kazi za roho ya uovu, huna msamaha juu ya dhambi yako.
Gentleman,Tlaatlaah ana majibu ya maswali yako!
Mkuu Una ufahamu wowote kuhusu lugha ya kifasihi au lugha ya picha? Usilazimishe kila sentensi ikae kwa kiwango cha uelewa wa kidini.Kwanza unapaswa uwe umejihakikishia kwamba unaemwita shetani huku akihubiri sera za Mungu ni shetani kweli, sio kwamba ni wewe umefanya mistaken identity. Kwa sababu ikiwa ni Mungu anahubiri sera za Mungu, na wewe ukamwita shetani kimakosa huku ukiona wazi anahubiri sera za Mungu, basi dhambi yako haina msamaha.
Yesu alisema hili waziwazi. Ikiwa unaona kazi za roho ya Mungu zinafanyika, na wewe ukaamua kuziita ni kazi za roho ya uovu, huna msamaha juu ya dhambi yako.
Wewe mtu wa ajabu sana usiejua usemalo. Umetoa thread katika context ya kidini, na unapojibiwa katika context ya kidini unasema mtu asilazimishe kila sentensi ikae kiwango cha uelewa wa kidini? Au wewe kwako unapotamka Mungu na shetani sio katika uelewa wa kidini?Mkuu Una ufahamu wowote kuhusu lugha ya kifasihi au lugha ya picha? Usilazimishe kila sentensi ikae kwa kiwango cha uelewa wa kidini.
Tena utepe wenyewe uzinduz wa matundu ya choo cha msaadaKukata utepe tu