Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

wanampenda samia, ila wanamchukia marehemu

wanampenda samia na wako kimya juu ya CCM

wako kwenye mtego mbaya sana kwa sababu emotion ndio zimewatawala
Tuna upinzani wa hovyo sana nchi hii.
 
Mkuu unazijua sifa za Nyumbu? Nakutajia moja; Kukosa kumbukumbu!!!
 
Kuna wapinzani wa CCM na kulikuwa na wapinzani wa Magufuli.Wapinzani wa Magufuli walikuwa wengi kuliko wapinzani wa CCM. Wengi wa wapinzani wa Magufuli, waliuchukia uongozi wake mbaya. Kwao, Rais anakuwa wa chama gani haikuwa muhimu sana, cha muhimu zaidi ilikuwa nchi kuwa na uongozi mzuri.

Lakini, hata wale wapinzani wa CCM, upinzani wao kwa CCM haukuwa wa kiwango sawa na ule dhidi ya Maguguli. Hakuna mwenye akili timamu aliyekubaliana na mambo mengi aliyokuwa akifanya Magufuli, bila ya kujali mtu huyo ni CCM au wa upinzani. Na uhakika wa hilo, fuatilia viongozi na wabunge wa CCM ambao kipindi cha marehemu waliamua kuishi bila akili, kazi yao ikawa ni kusifu na kushangilia tu, lakini baada ya waliyemkabidhi akili zao kuondoka Duniani, wasikilize wanachoongea.

Spika anasema hakubaliani na Magufuli kwenye suala la ndege na bandari ya Bagamoyo.

Gwajima anasema hakubaliani na Magufuli kwenye suala ya kuwabambikia watu kesi za uhujumu uchumi.

Nape anasema hakubliana na Magufuli kwenye suala la kuwanyanyasa wafanyabiashara.

Gambo anasema hakubaliani na Magufuli kwenye suala la watumishi hewa.

Mwigulu anasema hakubaliani na Magufuli kwenye suala la kuwanyanyasa wafanyabiashara na wawekezaji.

Samia anasema hakubaliani na Magufuli kwenye kunyanyasa wafanyabiashara na wawekezaji, kukanyaga demokrasia, kuvinyima uhuru vyombo vya habari, kuharibu mahusiano na mataifa mengine.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tuwaulizeni nyinyi MATAGA mnapomshangilia Mama Samia inamaana mmemgeuka MAGU

Mkiwa mnasahuriwa na werevu muwe mnaelewa tizameni nyuso zimewashuka mnaona aibu wala hamjui mko upande gani sasa maana hamueleweki hata mmnamshangilia nini kwa SSH

Haya yule mwingine KAYABHULA mchana kweupee anasema JIWE alikurupuka leo anataka waliofukuzwa vyeti feki walipwe

Kwetu Unyanyembe KUYABHULA ni pale MCHAWI anapojieleza dhambi zake alizofanya mbele ya umati wa watu aliowafanyia UCHAWI bila kuulizwa

Safari hii MTAYABHULA mmoja baada ya mwingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa kazi inabaki kwenu Buku 7 kama wewe waimba mapambio wa humu ndani JF mnabaki KUJIBALAGUZYA tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwetu Unyanyembe KUJIBALAGUZYA ni kujisemesha semesha maneno na kujistukia kwa NSONI

NSONI maana yake AIBU kwa Kinyanyembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mnatamani mgeenda nae MWENDA ZAKE maaana kawaachia AIBU kubwa mmno mnatafuta pakuziweka sura hamna na mkija humu KUJIBALAGUZYA tunawapa za uso Pumbavu kabisa nyie Mxieusssszzzz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waliweka nguvu kubwa kwa Magufuli kwa sababu ccm ilishakufa na Magufuli naye kashafariki hivyo sasa hivi wanaanua matanga tu.
Kweli kuna watu wanaishi jamhuri ya twitter...!!
Kwamba ccm imekufa wakati inaongoza??
 
Nilipoona kwamba mawazo haya yametolewa na mnanyembe wala sikupata shida. Tangu lini wazo jema likatoka mboka zaidi ya majungu na umalaya.
 
Hata ukiwaita,haifuti dhana ya kwamba ccm ni tumbili kama kafulila.ndo mana kwa akili fupi silinde,slaa,shonza,etc e
 
Wamepambania mfumo gani mpaka sasa? so far naona mifumo ni ile ile haujaguswa hata mmoja kuanza tume.
Wee matumbo ungeunga mkono juhudi za wanaopambana kuondoa mifumo mibovu ya nchi hii inayokufanya uwe maskini, lakini umekaa pembeni kazi kulalamika tu, watz bwana!
 
Wee matumbo ungeunga mkono juhudi za wanaopambana kuondoa mifumo mibovu ya nchi hii inayokufanya uwe maskini, lakini umekaa pembeni kazi kulalamika tu, watz bwana!
Hakuna anaepambania mifumo hao wapinzani wanapambania matumbo yao.
 
Pamoja na yote haya lakini aliiba uchaguzi na kuhalalisha wabunge wasio na vyama kuingia bungeni.
 
mpinzani mwenye akili alikuwa Slaa tu, wengine wameshikiwa akili na Mbowe
Ni kweli maana ccm haikupata shida nae kumnunua ilikuwa kama kumsukuma mlevi tu.Huyu ndio ana akili sana. 🤣 🤣
 
Wameamua kupambana na mzimu wa Magu wakidhani wataweza! Hawana jipya, wanatapatapa tu, tuwapuuze😡!
Nani anahangaika na mzimu wa huyo na wewe???Yeye ndie alikuwa anapambana na nguvu asioiona kwa macho akawezwa,kuna issue tena hapo sukuma gang ndio tunaopambana nao wasiotaka kukubali kuwa mtu wao is no more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…