Hizi fluids tatu zinanichanganya sana matumizi yake.
Normal Saline ninachojua inatumika kwa mtu aliyepata dehydration au vomiting, kwa hiyo wanampa ili ku replace zile electrolytes zilizopotea. Concentration yake hatakiwi kupewa mama mjamzito au mwenye high BP.
Ringer Lactate nayo kama NS. Dextrose nafahamu inatumika kupandisha sukari kwa mtu mwenye sukari iliyochini.
Sasa mtihani unakuja hapa kwenye mambo ya D5, D10 nk
Naomba kueleweshwa zaidi.
===
Baadhi ya majibu

D5%, D10%, D50% nk ina maanisha kiwango cha sukari kilichomo kwenye hiyo fluid. Mfano D5% ina kiwango kidogo cha sukari ukilinganisha na D10%, kadharika D10% ina kiwango kidogo cha sukari ukilinganisha D50%. Lakini zote zinatumika kutibu hypoglycemia, kwa kutegemea na level of hypoglycemia
===
D5% ,D10% na D50% kinachotofautisha ni concentrarion tu..
Mfano D5% ni kusema;
5g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water).
D50%
50g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water).