- Thread starter
- #21
nimekupata chiefD5% ,D10% na D50% kinachotofautisha ni concentrarion tu..
Mfano D5% ni kusema;
5g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water).
D50%
50g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekupata chiefD5% ,D10% na D50% kinachotofautisha ni concentrarion tu..
Mfano D5% ni kusema;
5g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water).
D50%
50g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water).
Yes ndo hivyo inatumika kuzuia hypoglycemic condition baada ya mtu kupata insulin bolus ..niliandika tu fasta fasta.Navyojua hiyo kushift Potassium to inside the Cell, ni Insulin ndio inafanya hiyo kazi.
By increasing the activity of Na+/K+ ATPase Pump.
Kazi ya D50% kwenye Hyperkalemia ni kureduce effect ya Insulin kwenye Blood Sugar.