D5%, D10%, D50% nk ina maanisha kiwango cha sukari kilichomo kwenye hiyo fluid. Mfano D5% ina kiwango kidogo cha sukari ukilinganisha na D10%, kadharika D10% ina kiwango kidogo cha sukari ukilinganisha D50%. Lakini zote zinatumika kutibu hypoglycemia, kwa kutegemea na level of hypoglycemia
D5% ,D10% na D50% kinachotofautisha ni concentrarion tu..
Mfano D5% ni kusema;
5g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water).
D50%
50g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water).
Duh!Normal Saline ninachojua inatumika kwa mtu aliyepata dehydration au vomiting kwa hiyo wanampa ili ku replace zile electrolytes zilizopotea
Elaborate more pleaseHizo ni % za dextrose mfano D5 inamaanisha 5% ni dextrose 95% ni maji
Contraction yake hatakiwi kupewa mama mjamzito au mwenye high BP
.
Written error wewe CO mzoefuNi contraindication sio contraction.
Naongea kama CO mzoefu, umeskia wewe MD3, kumbe kila siku kelele hata shule hujamaliza.
Nimechoka kutype mkianza kurotate wodini mtafundishwa sawa dogo wa md3??Hizo ni % za dextrose mfano D5 inamaanisha 5% ni dextrose 95% ni maji
D5%, D10%, D50% nk ina maanisha kiwango cha sukari kilichomo kwenye hiyo fluid. Mfano D5% ina kiwango kidogo cha sukari ukilinganisha na D10%, kadharika D10% ina kiwango kidogo cha sukari ukilinganisha D50%. Lakini zote zinatumika kutibu hypoglycemia, kwa kutegemea na level of hypoglycemiaHizi fluids tatu zinanichanganya sana matumizi yake.
Normal Saline ninachojua inatumika kwa mtu aliyepata dehydration au vomiting kwa hiyo wanampa ili...
uzi umeishia hapa,shukrani.D5%, D10%, D50% nk ina maanisha kiwango cha sukari kilichomo kwenye hiyo fluid. Mfano D5% ina kiwango kidogo cha sukari ukilinganisha na D10%, kadharika D10% ina kiwango kidogo cha sukari ukilinganisha D50%. Lakini zote zinatumika kutibu hypoglycemia, kwa kutegemea na level of hypoglycemia
Kijana bado mweupe sana.Halafu pia D50% inatumika kwenye Hyperkalemia kushift potassium kwenye cells..
MD3 kula shule hiyo kama bado hujaisoma Hyperkalemia protocol.
Mshauri dogo ale kitabu..atakuja kupata aibu bure..Wala bwana MD3 usiogope, ukija huku hospitali mambo n shagalabagala, haya mambo yooote wanayowafundisha ukifika kwa ground mambo n very different .
Jiandae kwa stress na upigaji mwingi
"Written error" sio, hata basic grammar tu hujui ila kelele kila siku.Written error wewe CO mzoefu
Dogo asome sana asije kuwa challenged na wagonjwa na sisi ma_C.O wazoefu/waandamizi.Mshauri dogo ale kitabu..atakuja kupata aibu bure..
Navyojua hiyo kushift Potassium to inside the Cell, ni Insulin ndio inafanya hiyo kazi.Halafu pia D50% inatumika kwenye Hyperkalemia kushift potassium kwenye cells..
MD3 kula shule hiyo kama bado hujaisoma Hyperkalemia protocol.