S Sina mood JF-Expert Member Joined Nov 15, 2018 Posts 248 Reaction score 1,442 Mar 8, 2023 Thread starter #21 Darmian said: D5% ,D10% na D50% kinachotofautisha ni concentrarion tu.. Mfano D5% ni kusema; 5g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water). D50% 50g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water). Click to expand... nimekupata chief
Darmian said: D5% ,D10% na D50% kinachotofautisha ni concentrarion tu.. Mfano D5% ni kusema; 5g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water). D50% 50g ya dextrose sugar kwenye 100ml ya solvent(water). Click to expand... nimekupata chief
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,289 Reaction score 46,624 Mar 8, 2023 #22 GenuineMan said: Navyojua hiyo kushift Potassium to inside the Cell, ni Insulin ndio inafanya hiyo kazi. By increasing the activity of Na+/K+ ATPase Pump. Kazi ya D50% kwenye Hyperkalemia ni kureduce effect ya Insulin kwenye Blood Sugar. Click to expand... Yes ndo hivyo inatumika kuzuia hypoglycemic condition baada ya mtu kupata insulin bolus ..niliandika tu fasta fasta.
GenuineMan said: Navyojua hiyo kushift Potassium to inside the Cell, ni Insulin ndio inafanya hiyo kazi. By increasing the activity of Na+/K+ ATPase Pump. Kazi ya D50% kwenye Hyperkalemia ni kureduce effect ya Insulin kwenye Blood Sugar. Click to expand... Yes ndo hivyo inatumika kuzuia hypoglycemic condition baada ya mtu kupata insulin bolus ..niliandika tu fasta fasta.