Iran akimiliki nuclear kifuatacho ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia kwa nuclear bombArWaLabda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?
Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?
Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
Tajiri hawezi ruhusu maskini apate hela nyingi ili amletee dharau.Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?
Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?
Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
Asante sana mkuu, na jibu ume lipata Israel ana tumia ubabe usio na kichwa Wala miguu.Mkuu hongera kwa kutumia haki yako ya kutoa maoni kwenye jukwaa la kidemokrasia.
Wangerusha hadi wapi?Kila siku kwa miaka 25 Ayatollah amekuwa akijiapiza kuwa "Israel itatoweka kwenye uso WA dunia"
Akili za waajemi kama bodaboda, angalia wanavyotupa makombora, jiulize wangekuwa na kitu HIROSHIMA si wangerusha Hadi Kizimkazi hapo jirani!
Nimekuelewa....but this has nothing to do with the lefties and right.Mkuu wanaokataa Ukrein asijiunge ndio wanaosaport Iran awe na Nuclear, na wanaotaka Ukrein ajiunge NATO na hata ikiwezekana kuwa na Nuclear ndio wasiotaka Iran iwe na Nuclear, inategemea kwa muda huo unahitaji nini na sio kuwa na consistency ya unavhokisema Jana ndio ukiseme siku zote.
Hapo mkoa jirani Kizimkazi, hahaha!Wangerusha hadi wapi?
North Korea mbona hawarushi na wanaongozwa na kichaa. issue nikuwa kwa nini uwachokoze.Kila siku kwa miaka 25 Ayatollah amekuwa akijiapiza kuwa "Israel itatoweka kwenye uso WA dunia"
Akili za waajemi kama bodaboda, angalia wanavyotupa makombora, jiulize wangekuwa na kitu HIROSHIMA si wangerusha Hadi Kizimkazi hapo jirani!
Kwani Kenya imetishia usalama wa taifa la Tanzania?Kwa hiyo sheria za umoja wa mataifa zinaruhusu Kenya akianza kutengeneza nuclear Tanzania tumvamie?
atahatarisha usalama wake kwa sababu kagoma kufuata masharti yao na matakwa yao, kwa maana nyingine kakataa kuwa kibaraka na Israel anahitaji kuwa bwana mkubwa hapo MENimekuelewa....but this has nothing to do with the lefties and right.
Nataka kujua Kama Israel anamiliki nuclear kwanini anakataa Iran awe nazo?
Iran ni ngome ya mwisho dhidi ya utawala wa magharibi mashariki ya kati, akitengeneza Bomu la Nyuklia anakua virtually untouchableLabda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?
Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?
Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.