Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,065
- 5,976
Unaweza kukubali jirani yako kichaa amiliki bunduki?Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini?
Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran?
Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
Alright, kwa hiyo kwasababu ya vitisho vya kila siku ndivyo vilivyomfanya Israel amvamie Iran kabla hajawa na Silaha za Nuclear.Kila siku kwa miaka 25 Ayatollah amekuwa akijiapiza kuwa "Israel itatoweka kwenye uso WA dunia"
Akili za waajemi kama bodaboda, angalia wanavyotupa makombora, jiulize wangekuwa na kitu HIROSHIMA si wangerusha Hadi Kizimkazi hapo jirani!
Everything is fair hapa Duniani, Kinachotakiwa kufanya ni kujipambania.Ni kweli..... Kwa hiyo hii demokrasia na free world inayohubiriwa duniani haipo ?
Ni theory tu.
Ngoja tilsi wapite na hicho kichwa chako Gadeim 😅Hapo mkoa jirani Kizimkazi, hahaha!
Ukichaa wa DINI ni zaidi ya ukichaa wowote ule!North Korea mbona hawarushi na wanaongozwa na kichaa. issue nikuwa kwa nini uwachokoze.
Hiroshima ni mji siyo bomuKila siku kwa miaka 25 Ayatollah amekuwa akijiapiza kuwa "Israel itatoweka kwenye uso WA dunia"
Akili za waajemi kama bodaboda, angalia wanavyotupa makombora, jiulize wangekuwa na kitu HIROSHIMA si wangerusha Hadi Kizimkazi hapo jirani!
Lugha ya PICHAHiroshima ni mji siyo bomu
Unatuchukulaje walevi wewe creature?Una bifu na jirani yako mlevi, wewe unamiliki bastola halafu jirani yako mlevi yupo kwenye mpango wa kununua AK47 Utamwacha anunue?
Ndicho anachokifanya Israel kuzuia jirani mlevi asitumie ile 47
Sheria za kimataifa zinaruhusu nchi yoyote kumiliki Nyuklia ilimradi nchi husika haitishii nchi zingine wakati inategeneza nuclear. Kama nimekupata vizuri.Kumiliki nuclear sio tatizo, bali tatizo n matumizi ya hiyo nuclear.
Matumizi ya nuclear sio tatizo, tatizo unatumia kufanya nini/lengo gani.
Nchi nyingi zinamilikiwa nuclear kwa lengo la silaha ila hayana tishio kwa mataifa mengine mfano USA.
Iran ina nuclear Ila kwa lengo la vita ndo mana wana sehemu ya siri ya hiyo nuclear kitu ambacho ni kosa mana hairuhusiwi kuwa n sehemu ya siri.
Kosa la kwanza la Iran n kuwa na eneo la siri kwa ajili ya hizo nuclear ndo wanaona hawa makobazi watakuja kuwa tishio.
Hana.Alright, kwa hiyo kwasababu ya vitisho vya kila siku ndivyo vilivyomfanya Israel amvamie Iran kabla hajawa na Silaha za Nuclear.
Iran ana Nuclear? Kwanini hazitumii kwenye haya majibizano!
Nawachukulia kama walipa kodi wazuri sana kuliko walokoleUnatuchukulaje walevi wewe creature?
Israel kajuaje?Iran akimiliki nuclear kifuatacho ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia kwa nuclear bomb
Unawajua wale jamaa wanaosemaga Death to America?Kwa hiyo sheria za umoja wa mataifa zinaruhusu Kenya akianza kutengeneza nuclear Tanzania tumvamie?