Naomba kuelezwa kuhusu Shahada ya Uzamili ya Public Health

Mkuu na elimu uliyonayo ni aibu kubwa kuandika kitu kama hiki..

Yaani wewe unaenda kusoma Masters kisa tu umesikia kuwa International Organisation wanalipa mshahara mkubwa??
Nilimaliza 2017... nikapata kazi kufundisha chuo cha diploma nikafanya kazi kwa mwaka mmoja na kitu (since july 2017 mpaka november 2018) ndipo nikaja kusoma hapa (ni one year kwa muhimbili)

My interest ni kupata kazi international organizations maana niliambiwa wanalipa pesa ndefu sana kwa MPH

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na elimu uliyonayo ni aibu kubwa kuandika kitu kama hiki..

Yaani wewe unaenda kusoma Masters kisa tu umesikia kuwa International Organisation wanalipa mshahara mkubwa??

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu sababu kuu ilikua ni ku develop my carrer kama mwalimu wa chuo lakini pia sababu nyingine zilizonivutia ni hio pia ya international organizations... na kuna sababu nyingine nyingi zilizonivutia kusomea masters na sio tu hio ulioikazia wewe.

Thats why nkimaliza nitaendelea na carrier yangu kufundisha chuo ila kama ntapata kwenye international organizations nitaenda huko maana nina interest huko kuliko kufundisha.

Na pia ni hulka yetu kusomea kitu ambacho kina market kubwa
 
Mkuu nadhani badala ya kumu attack mtu tungejikita kujibu issue iliowekwa mezani na huu ndio usomi wenyewe.
Wasalimie sana hapo MUHAS mkuu, shule ya hapo imeninyosha sana hadi sina hamu tena kurudi darasani.

Hii niliyoipata inatosha kuniwezesha kukabiliana na mazingira.

Pia kuhusu suala lako, siku nyingine ukitaka kufanya jambo, fanya utafiti wa kina ili kuepuka mkanganyiko kama huu ambao unaweza kuwa na athari kiasi fulani katika malengo yako
 
Hahaha mnyoosho wa hapa ni konki faya veyaa mnyalukolo.

Asante sana kwa ushauri wako mkuu.
 
Habari yako mutu murefu.
MPH inalipa sana asikudanganye mtu.
Kumbuka maishani kila mtu ana bahati na mawazo yake.
Vp umeshakutana na Prof Killewo kwenye one health, prof Mnyika?
Dr leyna, Dr Mizinduko, Dr Diana Faina kwenye epidemiology?
Prof Kazaura, Dr candica na Dr Mpembeni kwa Biostatistics; Wasalimie sana.
Ila kwa kipindi hiki utakuwa umeshamiliza one health and public health, epidemiology, biostatistics.
Utakuwa uko kwenye moja kati ya modules hizi :Implementing behavioral change, Health management policy and planning au Introduction to environmental and occupational health.
Bottom line MPH inalipa sana.
Wasalaam wana jamvi!

Mimi ni kijana ambaye baada ya kumaliza degree yangu mwaka juzi nikaunganisha kusoma master. Kwa sasa nasoma master of public health (MPH) hapa Muhimbili nategemea kumaliza mwaka huu.

Naombeni kujua kutoka kwa wadau wanaoijua hii ishu ninayosomea kazi zake katika private sectors na international organizations

Je ni kweli zipo kama tunavyoambiwa? Na salary zake zipoje? Na pia nitapenda kama mtanipa mawazo mbalimbali na mapendekezo kuhusiana na mada husika.

Naamini kuna watu pia watajifunza kwenye mada hii.

Asanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari yako mutu murefu.
MPH inalipa sana asikudanganye mtu.
Kumbuka maishani kila mtu ana bahati na mawazo yake.
Vp umeshakutana na Prof Killewo kwenye one health, prof Mnyika?
Dr leyna, Dr Mizinduko, Dr Diana Faina kwenye epidemiology?
Prof Kazaura, Dr candica na Dr Mpembeni kwa Biostatistics; Wasalimie sana.
Ila kwa kipindi hiki utakuwa umeshamiliza one health and public health, epidemiology, biostatistics.
Utakuwa uko kwenye moja kati ya modules hizi :Implementing behavioral change, Health management policy and planning au Introduction to environmental and occupational health.
Bottom line MPH inalipa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Salama mkuu,
Aisee umenitia moyo sana mkuu! Hao wote lecturers uliowataja wametufundisha mkuu! And of course wana pesa ndefu sana wanapataga project zenye pesa ndefu mfano Prof. Mujinja na Prof. Kessy.

The good news ni kuwa ni kweli inalipa naona milango ya bahati inafunguka maana nimepata mwaliko ku attend workshop Finland na Estonia as a student of MPH tarehe 25 this month. The project imekua organized by Finnish Medical Society inadhaminiwa na The Finnish Ministry of foreign affairs NGO funds ..i think its a good start kwangu.

You are right! Kwa sasa tuko module ya implementing behavioral change tuko na prof. Kamazima. I am so happy mkuu it seems wewe pia ni muhenga wa MUHAS specifically school of public health.

Thanks again.
 
Hongera sana.
Siku hzi Dr Kessy nae amekuwa professor?Safi sana.
Ndio nilisoma MPH hapo muhas.
Cha msingi jiamini tu na usitetereke sababu ya maneno ya watu wengine.
Kila la kheri.

Oh hongera sana mkuu nimefurahi sana kukutana na mtu tunaeongea the same language. About kessy nlidhani ni professor katufundisha mara moja tu so sikumjua vizuri.

Asante kwa kunitia moyo mkuu ubarikiwe sana![emoji111]️[emoji111]️
 
Usijali, tuko pamoja ndugu yangu.
Ahsante sana, na wewe uzidi kubarikiwa.
Oh hongera sana mkuu nimefurahi sana kukutana na mtu tunaeongea the same language. About kessy nlidhani ni professor katufundisha mara moja tu so sikumjua vizuri.

Asante kwa kunitia moyo mkuu ubarikiwe sana![emoji111]️[emoji111]️

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa MPH ukipata kazi zake mshahara siyo wa kitoto. Halafu kama upo vizuri kwenye kuandika research proposal/project/grant andiko moja tu unaweza kupewa fedha za kutosha. Kati ya vitu ninavyojutia ni kutokuwa na uwezo wa kuandika research paper ingawa malengo yangu ndani ya miaka 5 nijifunze kuandika reserach paper na kufanya analysis.
 
Public health ina nafuu Mara mia moja ukilinganisha na kozi za biashara,social sciences
 
Back
Top Bottom