smart introvert
Member
- Feb 15, 2013
- 64
- 109
Gharama za kusoma MPH ni kiasi ganiHongera sana.
Siku hzi Dr Kessy nae amekuwa professor?Safi sana.
Ndio nilisoma MPH hapo muhas.
Cha msingi jiamini tu na usitetereke sababu ya maneno ya watu wengine.
Kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mimi nasoma ilikuwa tsh.7670000 kwa mwaka.Gharama za kusoma MPH ni kiasi gani
Mkuu nimeomba hii kozi, gharama ya research inaweza kuwa kama ngapi? Na ile distant learning ya miaka miwili inakuwa sh ngapi kwa miaka yote miwili?Wakati mimi nasoma ilikuwa tsh.7670000 kwa mwaka.
Hii ni kwa regular track yaani full time.
Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni (siku ya jumatatu hadi ijumaa).
NB: Hii ni kwa MUHAS.
Around 2.6 hadi 3.5m mkuuMkuu nimeomba hii kozi, gharama ya research inaweza kuwa kama ngapi? Na ile distant learning ya miaka miwili inakuwa sh ngapi kwa miaka yote miwili?
Vipi ulifanikiwa kuajiriwa huko kwenye mashirika na unakunja ngapi saivi mkuu?Wasalaam wana jamvi!
Mimi ni kijana ambaye baada ya kumaliza degree yangu mwaka juzi nikaunganisha kusoma master. Kwa sasa nasoma master of public health (MPH) hapa Muhimbili nategemea kumaliza mwaka huu.
Naombeni kujua kutoka kwa wadau wanaoijua hii ishu ninayosomea kazi zake katika private sectors na international organizations
Je ni kweli zipo kama tunavyoambiwa? Na salary zake zipoje? Na pia nitapenda kama mtanipa mawazo mbalimbali na mapendekezo kuhusiana na mada husika.
Naamini kuna watu pia watajifunza kwenye mada hii.
Asanteni!
Habari boss.Vipi ulifanikiwa kuajiriwa huko kwenye mashirika na unakunja ngapi saivi mkuu?
Habari mkuu.Mkuu tupe updates
Good,Habari mkuu.
Nashukuru kwa kufanya followup, naamini kuna watu watajifunza kupitia uzi huu.
Nilifanikiwa kumaliza MPH pale MUHAS mwaka 2019, namshukuru Mungu nilipata award ya mwanafunzi bora kwa MPH class of 2019. Naamini baadhi ya classmates wangu wapo humu (nawasalimu naamini mshanijua tayari, it was a wonderful experience kuwa nanyi, i miss u sana)
Baada ya kuhitimu nilianza kufanya part time kufundisha chuo masomo ya research, epidemiology and biostatistics. Baadae nkapata kufanya kazi za muda mfupi kwy projects za mashirika mbalimbali kama
1. Schupa Tansania E.v - Germany
2. Finnish christian Medical society - Finland
3. Finnish Rotary doctors Bank - Finland
Katika kipindi hicho nimezunguka nchi almost 10 za ulaya sababu ya hizo projects (kwa ajili ya training, workshops and conferences).
Lakini pia nimekua nafanya research consultancy kwa masters students wanaohitaji assistance kwa gharama nafuu sana.
Currently, ni zonal project coordinator wa shirika fulani (sitalitaja kwa sasa, maana nna wiki moja since nianze kazi).. ni coordinator kwa mikoa mitatu ya kusini.
Kiufupi i feel proud kusoma MPH, kama nisingesoma sjui ningekua wapi. Nawaasa ndugu zangu usikatishwe tamaa na mtu yoyote ukiamua kufanya kitu muonbe Mungu wako yeye ndo anajua kesho yako.
Asanteni wakuu
Mkuu i wish u all the best... nadhani hata MUHAS ipo hii. Hii kozi pia iko ndani ya Public Health, ukipata shavu kwenye haya mashirika na projects basi utakula mema ya nchi.Good,
Binafsi, I have a dream ya kusoma Msc Epidemiology and Biostatistics, kwa Tanzania inatolewa Kcmuco.
Napambana nipate scholarship hata nikipata kwa nje ni sawa, but I really admire this course.
What??? IP MOB is dead? Dah nmeumia sana kwa kweli, jamaa alinitia moyo sana despite watu kunikatisha tamaa ila jamaa alinifuata mpaka DM tukawa tunawasiliana...Jamaa yangu alikupa ushauri mzuri sana ila he is no longer alifariki mwaka jana kwa tatizo la moyo Keep on Rest in peace friend Ip mob
MUHAS wana Applied epidemiology pekee, mi naipenda ya Kcmuco maana it has both Epidemiology na Biostatistics kwa pamoja.Mkuu i wish u all the best... nadhani hata MUHAS ipo hii. Hii kozi pia iko ndani ya Public Health, ukipata shavu kwenye haya mashirika na projects basi utakula mema ya nchi.
Go for it
Ooh hapo nmekupata kaka, nakutakia kheri aisehMUHAS wana Applied epidemiology pekee, mi naipenda ya Kcmuco maana it has both Epidemiology na Biostatistics kwa pamoja.
Naomba shule fupo kuhusu hii courseMUHAS wana Applied epidemiology pekee, mi naipenda ya Kcmuco maana it has both Epidemiology na Biostatistics kwa pamoja.
Ni Dr. Candida sio Candica.
Naomba shule fupo kuhusu hii course
Safi sana, a good motivation...wish you more successHabari mkuu.
Nashukuru kwa kufanya followup, naamini kuna watu watajifunza kupitia uzi huu.
Nilifanikiwa kumaliza MPH pale MUHAS mwaka 2019, namshukuru Mungu nilipata award ya mwanafunzi bora kwa MPH class of 2019. Naamini baadhi ya classmates wangu wapo humu (nawasalimu naamini mshanijua tayari, it was a wonderful experience kuwa nanyi, i miss u sana)
Baada ya kuhitimu nilianza kufanya part time kufundisha chuo masomo ya research, epidemiology and biostatistics. Baadae nkapata kufanya kazi za muda mfupi kwy projects za mashirika mbalimbali kama
1. Schupa Tansania E.v - Germany
2. Finnish christian Medical society - Finland
3. Finnish Rotary doctors Bank - Finland
Katika kipindi hicho nimezunguka nchi almost 10 za ulaya sababu ya hizo projects (kwa ajili ya training, workshops and conferences).
Lakini pia nimekua nafanya research consultancy kwa masters students wanaohitaji assistance kwa gharama nafuu sana.
Currently, ni zonal project coordinator wa shirika fulani (sitalitaja kwa sasa, maana nna wiki moja since nianze kazi).. ni coordinator kwa mikoa mitatu ya kusini.
Kiufupi i feel proud kusoma MPH, kama nisingesoma sjui ningekua wapi. Nawaasa ndugu zangu usikatishwe tamaa na mtu yoyote ukiamua kufanya kitu muonbe Mungu wako yeye ndo anajua kesho yako.
Asanteni wakuu
Hivi epidemiology and biostatistics ndani ya MPH inafundishwa deep kabisa hapo MUHAS?M Hii kozi pia iko ndani ya Public Health