clinical pharmacology2
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,387
- 2,516
Wasalimie sana hapo MUHAS mkuu, shule ya hapo imeninyosha sana hadi sina hamu tena kurudi darasani.
Hii niliyoipata inatosha kuniwezesha kukabiliana na mazingira.
Pia kuhusu suala lako, siku nyingine ukitaka kufanya jambo, fanya utafiti wa kina ili kuepuka mkanganyiko kama huu ambao unaweza kuwa na athari kiasi fulani katika malengo yako
Salama mkuu,
Aisee umenitia moyo sana mkuu! Hao wote lecturers uliowataja wametufundisha mkuu! And of course wana pesa ndefu sana wanapataga project zenye pesa ndefu mfano Prof. Mujinja na Prof. Kessy.
The good news ni kuwa ni kweli inalipa naona milango ya bahati inafunguka maana nimepata mwaliko ku attend workshop Finland na Estonia as a student of MPH tarehe 25 this month. The project imekua organized by Finnish Medical Society inadhaminiwa na The Finnish Ministry of foreign affairs NGO funds ..i think its a good start kwangu.
You are right! Kwa sasa tuko module ya implementing behavioral change tuko na prof. Kamazima. I am so happy mkuu it seems wewe pia ni muhenga wa MUHAS specifically school of public health.
Thanks again.
Cc. MwifwaWasalimie sana hapo MUHAS mkuu, shule ya hapo imeninyosha sana hadi sina hamu tena kurudi darasani.
Hii niliyoipata inatosha kuniwezesha kukabiliana na mazingira.
Pia kuhusu suala lako, siku nyingine ukitaka kufanya jambo, fanya utafiti wa kina ili kuepuka mkanganyiko kama huu ambao unaweza kuwa na athari kiasi fulani katika malengo yako
Hahahaaaa.Imekunyooshaje mkuu
Mimi ndio namalizia MPH. By mwakani katikati nitagraduate if God wishes.Nilimaliza 2017... nikapata kazi kufundisha chuo cha diploma nikafanya kazi kwa mwaka mmoja na kitu (since july 2017 mpaka november 2018) ndipo nikaja kusoma hapa (ni one year kwa muhimbili)
My interest ni kupata kazi international organizations maana niliambiwa wanalipa pesa ndefu sana kwa MPH
Mimi ndio namalizia MPH. By mwakani katikati nitagraduate if God wishes.
Asante mkuu. Nitazama PM kwakoCongratulations Mkuu
Mungu akufanikishie
Karibu kitaaa
Asante mkuu. Nitazama PM kwako