Naomba kuelimishwa kuhusu metaverse, faida na hasara zake

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Wakuu nasikia na kuona tu Facebook metaverse lakini sijui ni kitu gani hasa. Naona kama watu wana ishi online kama kwenye ile movie Ready player one au Free guy. Ipo hivyo hasa?

Ni nini faida na hasara za hii kitu?
 
Ni ukichaa flani hivi ambapo wajanja wanapga ela eti unanunua kiwanja pembeni ya mtu kama snopp keemye metaverse 😂😂.
Naona kwa sasa ni trial and error kama ambavyo internet ilipoingia, watu wakaona ni kitu chenye potential lakin how to utilize it, ndo wakawa wanajaribu jaribu, mengi yalishindea mengi pia yaka take off
 
Elon Reeve Musk anashauri "achana na hiyo kitu ".......Facebook is a real pain in the ass. Facebook is hurting our society with permanent misinformation with the goal of permanent profit.......( Nimeinukuu kutoka Quora)
 
Wote wapiga deal, hata elon naye mpiga deal
 
Faida ni avenue mpya ya kuingiza pesa kwa watakaokuwa wajanja. Hasara ni muda zaidi utapotezwa na watu katika maisha hayo ambayo si ya uhalisia
Mtu anawezaje kupata pesa huko? Maana inaonekana wanaowahi mwanzoni tech inapotoka ndiyo wanafaidika sana.
 
Ni ukichaa flani hivi ambapo wajanja wanapga ela eti unanunua kiwanja pembeni ya mtu kama snopp keemye metaverse 😂😂.
Naona kwa sasa ni trial and error kama ambavyo internet ilipoingia, watu wakaona ni kitu chenye potential lakin how to utilize it, ndo wakawa wanajaribu jaribu, mengi yalishindea mengi pia yaka take off
Nimeona na watu wananunua virtual goods, eti NFT!! Mambo yamebadilika sana. Lakini kama ulivyosema, trial and error. Vingine vitatake off vingine vitabuma. Lakini kama tu internet, watakaowahi ndiyo watafaidika zaidi.
 
na akili zangu zote kuwa kwenye cryptocureency hii NTF ni kama naona utakatishaji wa pesa kwa njia fulani unaofanywa.
 
Back
Top Bottom