Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ni ukichaa flani hivi ambapo wajanja wanapga ela eti unanunua kiwanja pembeni ya mtu kama snopp keemye metaverse ππ.Wakuu nasikia na kuona tu Facebook metaverse lakini sijui ni kitu gani hasa. Naona kama watu wana ishi online kama kwenye ile movie Ready player one au Free guy. Ipo hivyo hasa?
Ni nini faida na hasara za hii kitu?
Elon Reeve Musk anashauri "achana na hiyo kitu ".......Facebook is a real pain in the ass. Facebook is hurting our society with permanent misinformation with the goal of permanent profit.......( Nimeinukuu kutoka Quora)Wakuu nasikia na kuona tu Facebook metaverse lakini sijui ni kitu gani hasa. Naona kama watu wana ishi online kama kwenye ile movie Ready player one au Free guy. Ipo hivyo hasa?
Ni nini faida na hasara za hii kitu?
Wote wapiga deal, hata elon naye mpiga dealElon Reeve Musk anashauri "achana na hiyo kitu ".......Facebook is a real pain in the ass. Facebook is hurting our society with permanent misinformation with the goal of permanent profit.......( Nimeinukuu kutoka Quora)
Mtu anawezaje kupata pesa huko? Maana inaonekana wanaowahi mwanzoni tech inapotoka ndiyo wanafaidika sana.Faida ni avenue mpya ya kuingiza pesa kwa watakaokuwa wajanja. Hasara ni muda zaidi utapotezwa na watu katika maisha hayo ambayo si ya uhalisia
Nimeona na watu wananunua virtual goods, eti NFT!! Mambo yamebadilika sana. Lakini kama ulivyosema, trial and error. Vingine vitatake off vingine vitabuma. Lakini kama tu internet, watakaowahi ndiyo watafaidika zaidi.Ni ukichaa flani hivi ambapo wajanja wanapga ela eti unanunua kiwanja pembeni ya mtu kama snopp keemye metaverse ππ.
Naona kwa sasa ni trial and error kama ambavyo internet ilipoingia, watu wakaona ni kitu chenye potential lakin how to utilize it, ndo wakawa wanajaribu jaribu, mengi yalishindea mengi pia yaka take off
Howna akili zangu zote kuwa kwenye cryptocureency hii NTF ni kama naona utakatishaji wa pesa kwa njia fulani unaofanywa.
Umeshajibu swali lako. Walioinvest kwenye coin, walioanzisha metaverse zao na wanaoelimisha ndio wananufaikaMtu anawezaje kupata pesa huko? Maana inaonekana wanaowahi mwanzoni tech inapotoka ndiyo wanafaidika sana.