Naomba kufahamishwa kiwango cha elimu ya Rais Samia Suluhu Hassan

Mleta bandiko,naona hujui maana ya elimu,
Tafuta maana ya neno elimu kwanza.
Kujaza vyeti sio elimu,elimu ni zaidi ya kujaza vyeti,rejea kwa tajiri bilionea mwenye makampuni ya Alibaba,anaitwa Jack ma,aliwahi sema Nini kuhusu elimu.
Karume mtoto,alikuwa raisi wa Zanzibar na elimu ya kidato Cha sita tu,lakini alifanya makubwa kuliko watangulizi wake,Ila hakumzidi baba yake,na karume baba inasemekana hakuwa na elimu kubwa alifanya mengi moakay Leo hayajawahi fanywa na raisi yeyote aliekuja mpaka Hadi Sasa.
 
Nyerere hakuwai kuwa na degree, soma historia yake. Pia katiba ya Sasa sidhani Kama imetamka elimu ya rais. Katiba pendekezwa ndio Ina hicho kigezo
Elimu ya Nyerere ilikuepo ni Masters
 
Mbona nilisikia ana Masters in economic development?
 
Yule jamaa sijui alipataje PhD? Kwangu mimi bila kujali kiwango cha elimu, marais vichwa walikuwa ni Julius, Benjamin na Jakaya!
Kuna jina hapo,hujalitendea haki kuliweka hapo ,vichwa ni nyerere,mkapa na jpm. jakaya ni janja ,janja na mission town.
 
Elimu ni makaratasi tu, wasomi ndiyo watu wasio na maendeleo nchi hii kwasababu ya kushindwa kuthubutu......Tumwache mama apige mbombo
mbombo ya urais ngafu fijo mkuu,kitabu muhimu angalau ka digirii,maana mikataba mingi ya kibiashara ni ya wazungu,madini,utarii,anga,majini n.k,kitabu ni muhimu ili kwenda nao sambamba .
 
Kuwa Rais wa Tanzania siyo lazima uwe na Degree.

Degree ni upumbavu mwingine usio na maana yoyote.

Note: Sijasema anayo au hana: Ila degree karne hii ya 21 siyo issue. Dunia iko kwenye SKILLS na PERFORMANCE.
Wewe sikununulii pepsi. ..

Kanywe Grand Malt kwa mangi jioni nitafanya muamala
 
mbombo ya urais ngafu fijo mkuu,kitabu muhimu angalau ka digirii,maana mikataba mingi ya kibiashara ni ya wazungu,madini,utarii,anga,majini n.k,kitabu ni muhimu ili kwenda nao sambamba .
Naloli Nyambala......ila sifa ya kwanza lazima awe na angalau kadigrii,ko alinako nkamu......na master's na vitraining vinginevyo hawezi kukosa.......
 
Raisi mwenye elimu kubwa nadhani ni Hayati Magufuli ana Phd,mengine watanzania wenzangu wataongezea
Kuna mmoja alipewa uprof na China na kama sijakosea
 
Kwahiyo tukubaliane kuwa elimu ya mama ni ya hapa na pale?
 
Mama alipigwa mimba na kuolewa akiwa na miaka 18 tu, hizo unazoita elimu unafikiri alizipata saa ngapi?
 
Apo ungemtoa mmoja ungemuweka JPM that's true
Yule jamaa sijui alipataje PhD? Kwangu mimi bila kujali kiwango cha elimu, marais vichwa walikuwa ni Julius, Benjamin na Jakaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…