Naomba kufahamishwa kiwango cha elimu ya Rais Samia Suluhu Hassan

Naomba kufahamishwa kiwango cha elimu ya Rais Samia Suluhu Hassan

Unaweza ukawa na Advance diploma utaenda masters kama sikosei, na inategemea Uko wapi na unafanya nini kuna wakati ukishakua mtu mzima qualifications sio kipaumbele zaidi ya work experience yako

Advance Diploma au Advanced Diploma? Shule za siku hizi ni shida jamani!
 
Tusisahau mama alikuwa Makamu, kuwa Rais ni accidentally,tukishaelewa hapo ndio tuanze kuichambua elimu yake na urais.
 
Kikwete alikuepo na Degree moja ya uchumi kilimo . Na yenyewe ilikuepo alipata gentlemen degree yenye matokeo ya chini kabisa. Hizo zote Kikwete alitunukiwa tuu na wazungu asilimia kubwa. Nyerere degree ya ualimu Makelele university na Magufuli ana PhD ya chemistry, MSc chemistry na BSc education chemistry and mathematics

Mbona huongelei Masters ya Mwalimu Nyerere from Edinburgh University- Scotland mwaka 1949-1951 badala yake unaishia Makerere tu!
 
Degree ya pili. Ila ya kwanza hana.
Kipindi anasoma Madam chuo cha IDM Mzumbe sasa Mzumbe University kilikua kinatoa Advanced Diploma which was equivalent to Bachelor Degree.

Ndio maana akaweza kusoma Masters Degree.
 
Na je Rais wa Sasa amefikia huko maana nliwah msikia yeye mwenyewe Kama elimu yake ni ya kuungaunga.
Hapo alitumia lugha ya kujishusha (humble language),wewe ukanasia hapohapo. Elimu kibwa haisababishi mtu kuwa kiongozi mzuri,unaweza kuwa na raisi mwenye PhD lakini akaigawa nchi vipandevipande na kumuacha nchi katika makovu ambayo inachukua mda kufutika.
 
Na je Rais wa Sasa amefikia huko maana nliwah msikia yeye mwenyewe Kama elimu yake ni ya kuungaunga.
Kwani elimu zote si za kuungaunga mkuu ? Au kuna elimu ambayo si ya kuungaunga mkuu ? Primary to secondary to A level or certificate then diploma then degree etc
 
Unaweza ukawa na PhD ukawa kiongozi hovyo tu. Tanzania hatuhitaji PhD kutuongoza bali tunataka Rais anayejua maana ya kiongozi. Mh. Samia Suluhu Hassan ana degree bachelor na Masters amefanya kazi mpaka international organisations. Mimi kwa tulikofikishwa na PhD hata tukipata darasa la 7 anayejua kuongoza inatosha tu. Huyu Rais wetu mpya mpaka sasa ameshapita utendaji wa PhD holder na wale mapurofesa alikuwa anateua ya nanihii. Kumbe mijizi tu.

Mama yetu piga kazi. Tuko pamoja.
Kazi Iendelee Awamu ya 6.
 
Back
Top Bottom