Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
- Thread starter
- #201
Elimu ya mikopo na tozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya PhD manake alikuwa na degree ya kwanza na ya pili masters tupo sawa!JIWE ALIKUWA NA PH.D YA MAGUMASHI NA NDIO MAANA ALIKUWA ANAWAKA BEN SAANANE ALIPOKUWA ANAHOJI JUU YA UHALALI WA PH.D YAKE!!! MASIKINI IKAWA NDIO HUKUMU YAKE NA KUPOTEZWA.
Sio lazima uwe na Masters degree ili kutunukiwa PhD!Kabla ya PhD manake alikuwa na degree ya kwanza na ya pili masters tupo sawa!
Zau nimekuacha!
Mwenzio saa 8 hivi hivi aliuliza mpaka leo yuko mahali pemaKwa wajuzi naomba kujua kiwango cha elimu Cha Rais wetu wa sasa mama Samia Suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na siyo vibaya tukaujua ni Rais yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo. Lengo ni kufahamu wasifu na historia za viongozi wetu wakuu wa nchi.
Lakini pia naomba kujuzwa katika Katiba kuna kipengele kinachozungumzia suala la kiwango cha elimu anachopaswa kuwa nacho Rais wa nchi au halijatajwa hilo.
Je, kiwango cha elimu kina athari gani kwa uongozi mkubwa kabisa katika nchi? Hili ningependa nijulishwe na wabobezi wa siasa.