Naomba kufahamishwa kiwango cha elimu ya Rais Samia Suluhu Hassan

Haya yote yanatoka wapi?! Acha kupaniki
 
Kuna watu wana Degree lakini bibi zao kule kijijini wasiojua hata darasa wanawapita uwezo

Mwacheni mama yetu achape kazi
 
Huwezi kuwa Makamu wa Rais bila kuwa na sifa za kuwa Rais. Angewekewa pingamizi wakati wa nomination
 
Hana ila ana masters ya kuunga unga. Huyo alifeli form four,sema aliunga unga. Ila katika maisha mwisho ndo unaocount. Nampongeza baada ya kufeli skuli,hakukata tamaa.
Unaweza kuwa na masters bila kwanza kuwa na bachelor degree?
 
Kuwa Rais wa Tanzania siyo lazima uwe na Degree.

Degree ni upumbavu mwingine usio na maana yoyote.

Leta hicho kifungu cha KATIBA.


Leta kifungu, acha kuruka ruka kama ngedere.
Degree ni lazima wakuu... Someni Katiba kabla ya kubisha.
 
Ana hekima na busara ambazo ni zaidi ya phd na mokorokoro yote unayoyajua kwenye dunia hii.

Hizi ni sifa adimu sana kwa wanadamu wa leo dunia nzima

Inaitwa high emotional intelligence, mama yuko juu saaana, yaani naona kabisa watanzania tukiendelea mbele, hatapendelea vitu viwe priority badala ya watu. Unlike bwana yule kutukamua tuishi bila amani ilimradi anunue mindege 😢😢😢😢
 
Unaweza kuwa na masters bila kwanza kuwa na bachelor degree?

Unaweza ukawa na Advance diploma utaenda masters kama sikosei, na inategemea Uko wapi na unafanya nini kuna wakati ukishakua mtu mzima qualifications sio kipaumbele zaidi ya work experience yako
 
Stefan Löven waziri mkuu wa mojawapo ya Nchi zilizoendelea duniani Sweden hakumaliza hata mafunzo ya welding katika shule ya Ufundi aliyesoma licha ya kuwa na degree.
Na hakuna mwananchi wa Sweden anayeulizia kwanini mkuu wa serikali hana degree!!
Tuna mambo ya maana ya kujadili kuliko kiongozi kuwa na degree!! Je mbona alipokuwa makamu wa Rais swali hili halikuwa raised?Why now?Au ni uzandiki tu???
 
Hana ila ana masters ya kuunga unga. Huyo alifeli form four,sema aliunga unga. Ila katika maisha mwisho ndo unaocount. Nampongeza baada ya kufeli skuli,hakukata tamaa.
Mwisho wa siku watu wataanza kuuliza, kwanini Nyerere hakusoma Form 5 na Form 6 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huu muda ungeutumia kudai uhuru wa zile taasisi mnazosemaga zinawanyima ushindi ungeonekana wa maana sana.
 
Kuwa Rais wa Tanzania siyo lazima uwe na Degree.

Degree ni upumbavu mwingine usio na maana yoyote.

Note: Sijasema anayo au hana: Ila degree karne hii ya 21 siyo issue. Dunia iko kwenye SKILLS na PERFORMANCE.
Katiba yetu inataja kiwango cha elimu cha angalau first degree ndiyo uqualify kuwania na kuwa rais wa nchi hii
 

Wanafiq Work, zimetoka PHD mmelalama kaja huyo mnaataka phd ovyo sana nyie watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…