Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Okee..Angeliuza Mama Samia ana Elimu gani?
Jibu lake ni tofauti na kuuliza Mh. Rais SSH ana elimu gani?
Nadhani sasa umeelewa nini anachotaka kujua .
Mpe majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okee..Angeliuza Mama Samia ana Elimu gani?
Jibu lake ni tofauti na kuuliza Mh. Rais SSH ana elimu gani?
Kwahiyo hadi ITV nayo si chombo Cha habari?TBC siyo chombo cha habari.Siku zote TV ya Taifa pamoja na radio ya Taifa ni chombo cha propaganda cha chama kinachotawala.Kwa nini hujui mambo madogo kama haya?!
His excellence Lusinde na Chief Msukuma. Hii miamba ni standard seven graduates. Angalizo, usiniambie nisome vizuri uzi wako.Na mwenye elimu ndogo zaidi?
Kwa hiyo unataka kusema katiba hitaji suala la kiwango Cha elimu au unashauri kipengele hiko kifutwe?Elimu ni makaratasi tu, wasomi ndiyo watu wasio na maendeleo nchi hii kwasababu ya kushindwa kuthubutu......Tumwache mama apige mbombo
Hahaaaaaa mzeee naona umeamua kutupa jiwe gizanHis excellence Lusinde na Chief Msukuma. Hii miamba ni standard seven graduates. Angalizo, usiniambie nisome vizuri uzi wako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]His excellence Lusinde na Chief Msukuma. Hii miamba ni standard seven graduates. Angalizo, usiniambie nisome vizuri uzi wako.
Mheshimiwa wabongo wanajitoa ufahamu Sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeye ameuliza Marais jamani
Yaani nimecheka eti ametoa angalizo[emoji38]Mheshimiwa wabongo wanajitoa ufahamu Sana.
We uridhike Kama nani?? Usiporidhika ndo urais wake unafutika?? Mara nyingi ameongea CV yske mwenyewe akihadithia elimu yake kuanzia alipoanza mpaka alipopata masters,amekiwa mkurigenz mkaazi wa mashirika ya kimqtaifa nchini,amrkuwa waziri kuanzia znz moaka serikali ya muungano,Sasa ww uridhike au usiridhike unampunguzia nn??Ombi tupeni CV kamili ili tujiridhishe maana inaonekana Kuna utata ktk Hil😵mbi naomba tujulishwe alipopitia mpaka hyo masters.
Nimeandika kuwa TV ya taifa pamoja na radio ya Taifa siyo vyombo vya habari lakini katika mataifa ya kidikteta kama ilivyokuwa Tanzania chini ya "shujaa" Magufuli vyombo vyote vya habari hadi vile vyombo binafsi kama vile ITV huwa vinawekwa mfukoni na dikteta na kuwa sawa na TBC na vinakuwa na kazi moja ya kueneza propaganda ya chama tawala.Kwahiyo hadi ITV nayo si chombo Cha habari?
Sasa ni kipi chombo Cha habari?
Tuwekee basi CV Yake.
Education Background.Okee..
Nadhani sasa umeelewa nini anachotaka kujua .
Mpe majibu
Magufuli ameingiaje hapa jamani na wakati kipindi CV ya mama inasomwa Mh JPM alikuwa ameshakufa.Nimeandika kuwa TV ya taifa pamoja na radio ya Taifa siyo vyombo vya habari lakini katika mataifa ya kidikteta kama ilivyokuwa Tanzania chini ya "shujaa" Magufuli vyombo vyote vya habari hadi vile vyombo binafsi kama vile ITV huwa vinawekwa mfukoni na dikteta na kuwa sawa na TBC na vinaluwa na kazi moja ya kueneza propaganda ya chama tawala.
Natumaini mtoa mada ameshapata majibu.Education Background.
Hon. Samia Suluhu Hassan received Primary Education in different schools including Chwaka Primary School in Unguja in 1966 to 1968, Ziwani Primary school in Pemba from 1970 to 1971 and Mahonda Primary School in Unguja in 1972.
In 1973 to 1975 Hon. Samia joined Ngambo and Lumumba Secondary School in Unguja. After secondary education in 1977 she joined The Zanzibar Institute of Financial Administration (ZIFA) for Statistics studies.
After studies she was employed by the Ministry of Planning and Development. In 1986 she joined the Institute of Development Management- IDM (present Mzumbe University) in Morogoro for advanced studies in Public Administration.
After various studies in Tanzania Hon. Samia joined the National Institute of Public Administration in Lahore, Pakistan. In 1991 she joined the Institute of Management for Leaders, Hyderabad in India for a Certificate Management Course.
After studies in 1992 she was employed in a Project funded by the World Food Programme (WFP) between. Hon. Samia attended the Univesrsity of Manchester in London for graduate studies to persue Postgraduate Diploma in Economics. In 2004 -2005, she progressed to Masters Degree in Community Economic Development through a joint-programme between the Open University of Tanzania and the Southern New Hampshire University ,USA.
Political Career.
Mkuu thibitisha maneno yako kwa kunukuu ibara ya katibaKwa mujibu wa katiba Rais hapaswi kuwa na elimu chini ya degree lakini Mama hana degree![emoji124][emoji124][emoji124]
Mama atakuwa anatema yai sana. japo Entebe alikuwa anasoma nasubiri kumsikia akiongea kwa reasoning.Nimeanza kupata mashaka na elimu yake mkuu sababu Kuna dalili mbaya nyingi kuwa huenda kiwango chake hakiridhishi
Jamani hata Kama ndio kuutaka uchawa wa mama lakini taratibu jamani tunahaki ya kuhoji Kama raia wema sininyinyi mnaohubiri Sasa hv ni wakati wa UhuruWe uridhike Kama nani?? Usiporidhika ndo urais wake unafutika?? Mara nyingi ameongea CV yske mwenyewe akihadithia elimu yake kuanzia alipoanza mpaka alipopata masters,amekiwa mkurigenz mkaazi wa mashirika ya kimqtaifa nchini,amrkuwa waziri kuanzia znz moaka serikali ya muungano,Sasa ww uridhike au usiridhike unampunguzia nn??
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Soma angalizo nililoweka. Anastahili majibu ya town town[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeye ameuliza Marais jamani
Kuna mtu ajitokeze atufafanulie kwa kiswahili maana ukiangalia hyo miaka na shule na kiwango alichofikia na ukizingatia ni lugha ya kigeni iliyotumika kwakweli sijaelewa bado.Msaada tafadhali ndugu zangu Watanzania .Education Background.
Hon. Samia Suluhu Hassan received Primary Education in different schools including Chwaka Primary School in Unguja in 1966 to 1968, Ziwani Primary school in Pemba from 1970 to 1971 and Mahonda Primary School in Unguja in 1972.
In 1973 to 1975 Hon. Samia joined Ngambo and Lumumba Secondary School in Unguja. After secondary education in 1977 she joined The Zanzibar Institute of Financial Administration (ZIFA) for Statistics studies.
After studies she was employed by the Ministry of Planning and Development. In 1986 she joined the Institute of Development Management- IDM (present Mzumbe University) in Morogoro for advanced studies in Public Administration.
After various studies in Tanzania Hon. Samia joined the National Institute of Public Administration in Lahore, Pakistan. In 1991 she joined the Institute of Management for Leaders, Hyderabad in India for a Certificate Management Course.
After studies in 1992 she was employed in a Project funded by the World Food Programme (WFP) between. Hon. Samia attended the Univesrsity of Manchester in London for graduate studies to persue Postgraduate Diploma in Economics. In 2004 -2005, she progressed to Masters Degree in Community Economic Development through a joint-programme between the Open University of Tanzania and the Southern New Hampshire University ,USA.
Political Career.
Dokta feki nisawa kutoa majibu ya town town kwenye jambo serious Kama hili?Soma angalizo nililoweka. Anastahili majibu ya town town[emoji1787]
Ebu acha upuuzi....Kuna mtu ajitokeze atufafanulie kwa kiswahili maana ukiangalia hyo miaka na shule na kiwango alichofikia na ukizingatia ni lugha ya kigeni iliyotumika kwakweli sijaelewa bado.Msaada tafadhali ndugu zangu Watanzania .
Kile kidhungu kinawalakini!Mama atakuwa anatema yai sana. japo Entebe alikuwa anasoma nasubiri kumsikia akiongea kwa reasoning.
Maana mwendazake pamoja na elimu alotwisha ilikuwa tatizo