Mama kalipuliwa huko mtandaoni kwa tuhuma kadhaa ambazo siwezi kuziweka hapa ila mojawapo inahusika yeye kutokuwa na degree.
Lakini nakumbuka wakati wanatoa wasifu wake,waligusia swala la yeye kujiendeleza kielimu na kufika mbali na kama sikose alisoma mpaka huko Ulaya.
Swali ni je,madai haya yanatoka wapi kama ni kweli?
Kazi nyingine imeanza huko Twitter na inabidi iendelee kama kauli mbiu yake inavyosema.Sasa sijui atavumilia kwa hizi nondo alizopigwa na yule jamaa kule Twitter?
Wacha tubaki watazamaji.