Naomba kufahamishwa kuhusu baiskeli za umeme

Adolph Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
5,950
Reaction score
9,511
Ni muda sasa baada ya kusikia kuhusu vifaa hivi vya umeme (kuchaji)....Hivyo ninauhitaji navyo lakini ni bora kufahamu kuhusu vipengele hivi...

1:- Je baiskeli za umeme zipo tz na zinapatikana wapi dar au nyanda za kusini..

2:- Kama zipo kampuni gani ni bora na imara...?.

3:- Gharama zake kama naweza kuzifahamu...
 
Kuna jamaa humu Jf mwaka jana alikuwa anauza yupo Zanzibar nzuri na bei rahisi nimeisahau ID yake na ule uzi.
Unaweza kukumbuka walau bei..?
 
kampuni zinazotamba kuna
linkall
sinoray
jxb

sifa
kuna zenye batery 4, 5 na 6
bei inategemea na uwingi wa batery na shape.
zenue batery 4 huwa haziendi umbali mrefu, almost 50km charg imeisha na top speed huwa ni 45km/h na bei inarange from 1.2m hadi 1.5m

zenye batery 6 zinaenda mpaka 70km ndo charg iishe na top speed ni 60km/h na bei ina range from 1.5m hadi 2.3m kutegemeana na aina ya kampuni.
 
Duuuh kwa hii bei ya mafuta bora tuhamie huku.
 
Hizi kampuni zipo hapa tz ,Dar
 
Je hizi kampuni zipo hapa tz, Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…