Naomba kufahamishwa kuhusu baiskeli za umeme

Naomba kufahamishwa kuhusu baiskeli za umeme

Nenda kariakoo Fire karibu na KFC na hotel ya ABC pale.kuna kampuni ya Linkall na JXB.. Pia opposite kuna duka kubwa la Sinoray nao wanauza nje hapo..ukifika mitaa hiyo ukiulizia utaelekezwa

Bei inaanzia 1.4M to 2m kutokana na sifa alizotaja mdau hapo juu kwenye betri, speed na km
 
linkall, sinoray na jxb wapo kuanzia swahili kuelekea fire ukiulizwa utaoneshwa.
Asante sana ila walau ningepata maelezo kidogo kampuni ipi inazo nzuri ingekuwa poa zaidi...🤝🤝
 
hii kampuni jina sijui, ila kama una 1m nikupe used nnayotumia mimi ukienda JXB inauzwa 2.2M betri bado nzima inatumia betri 6 kwa sasa sina matumizi nayo natumia gari.
Ni PM picha za hiyo bike mkuu nione kama tunaweza fanya biashara..
 
hii kampuni jina sijui, ila kama una 1m nikupe used nnayotumia mimi ukienda JXB inauzwa 2.2M betri bado nzima inatumia betri 6 kwa sasa sina matumizi nayo natumia gari.
Ngoja nikucheki pm
 
Back
Top Bottom