Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Habari za wakati huu,
Ningependa kufahamu kuhusu mji wa Tanga na gharama za maisha. Baadhi ya mambo ningependa kufahamu ni pamoja na maeneo mazuri ya kuishi kwa watu wa kipato cha chini au cha kati, Gharama za kupangisha nyumba, chumba. Gharama za chakula na malazi katika lodges na guest houses, gharama za usafiri wa mjini. Shughuli za kiuchumi za wakazi wa Tanga.
Taarifa zozote zile ambazo zinaweza kumsaidia mtu anayetaka kuhamia Tanga kitalii
Asanteni