Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Huko kina sheikh mudy wanaamka saa 5 asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mkuu kwa maelezo yako.Vipi kuhusu gharama za rental kwa nyumba,chumba na office space?Bro maisha popote wasikutishe. Tupo Tanga na mambo yanaenda. Wa Dar wanaanza kurudi mdogo mdogo.
Sehemu salama kwa makazi ni Sahare, Chumbageni, Nguvumali, Kange uzunguni. Ole wako na Magomeni, Kwanjeka au Majengo.
Kula ya kawaida b/f 1000 lunch 1500 dinner 1500.
Usafiri ni daladala 400 boda ya ppl au baiskeli.
Uchumi ni biashara ya chakula (nafaka), matunda, samaki.
Lakini tu ukiingia HUTOKI
[emoji848][emoji848][emoji848]sina taarifa. Ningejua ningeenda muona aisee.Wewe jamaa bhana
Nenda kamsalimie msagati naskia anaumwa
waenda tu wakajazane,Tz yetu soteNyote mkikimbia mji itakuwaje??
Halafu muje kulalamika wachaga wamejazana kila sehemu.
😃😃Msalimie sana bi mkubwa.Mji mgumu kama jiwe aisee.
Ila gharama za maisha nafuu sana.
Mnazi Mmoja Msingi hapo mother alifundisha sana[emoji1]
Ni kweli but tuichukulie hiyo kama opportunityMji mgumu kama jiwe aisee.
Ila gharama za maisha nafuu sana.
Mnazi Mmoja Msingi hapo mother alifundisha sana[emoji1]
Ndio hivyo kaka.[emoji848][emoji848][emoji848]sina taarifa. Ningejua ningeenda muona aisee.
Nilikua tanga mwezi january tarehe 1-6 napuyanga mjini tu
Bado yupo pongwe?
... hapana. Saa 04:15 hrs wako masjid so wanaamka mapema sana.Huko kina sheikh mudy wanaamka saa 5 asubuhi
The other time I was thinking about opening a hotel for foreign tourists, there are may be some attractions that will help revive the sector in the region.waenda tu wakajazane,Tz yetu sote
Sehemu yyte yenye maisha marahisi ujue hamna hela hapoMji mgumu kama jiwe aisee.
Ila gharama za maisha nafuu sana.
Mnazi Mmoja Msingi hapo mother alifundisha sana[emoji1]
best of luck mkuuThe other time I was thinking about opening a hotel for foreign tourists, there are may be some attractions that will help revive the sector in the region.
Saadani national park
Amboni caves
Raskazone beach
Pangani river
Pangani ujamaa villages
Inategemea na location, chumba kinaanza 5k hadi 50k, upande mmoja 100k hadi 250k.Asante Mkuu kwa maelezo yako.Vipi kuhusu gharama za rental kwa nyumba,chumba na office space?
Vipi kuhusu hali ya nyumba ikoje?Miaka michache iliyopita nilibahatika kuishi Tanga....Machache nayoyajua kuhusu Tanga.
1.Tanga kwa utafutaji bado wapi chini kuna bustani kama zote pale Tanga mjini unakuta mida ya kazi watu wamelala tu kwa ufupi ni wavivu wa Kazi.
2.Katika daladala unaweza ukajikuta abiria wawili au peke yako hasa mida ya mchana mfano ruti za raskazoni-nguvumali sijui kwasababu usafiri wa baskel kama wote
3.Mida ya saa 1 usiku kuna sehemu daladala kupata ni kwa shida naona wanakuwa wanafunga siku tofauti na Dar usafiri muda wote.
4.Kuna soko sijui ndio gulio panaitwa Tangamano kila siku ya jmosi,jumanne na Alhamisi.......unaweza kubahatisha kiatu/nguo/handbags kali kwa bei rahisi.
5.Tanga mjini barabara zake za mitaani nyingi zina rami.
6.Ila Tanga kuna watoto wazuri hatari.
Vipi kuhusu hali ya nyumba ikoje?