Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za maisha ndani ya Jiji la Tanga

Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za maisha ndani ya Jiji la Tanga

😆😆😆 Yaan unasema tng hakuna tofauti na dsm ? Ndugu aacha kumpotosha huyu ndugu, yaan dar na tng ni mbingu na ardhi mzee, dar kumechangamka sana mishe mishe kibao tng hamna kitu mji upo doro, ukitika saa sita mchana kuelekea saa saba maduka yana fungwa kwenda kuswali au muhindi anaenda kupumzika mpaka saa 8 Dar upuuzi huo hakuna.
Tng saa 3 usiku mji kimyaaaa wakati dar iyo saa 3 ndio kuna anza kukucha ....
Kwan chumba sh ngap barabara ya 15 chumba sh ngap majan mapana chumba sh ngap magomen being na dar nisawah upande wachumba afu tanga kubwa hata manga nitanga hata mkata hata kwa msisi pia je? Ww unazungumzia tanga ipi
 
mkuu Asante.Sehemu salama ya kuishi ni wapi?
Kama unaitaj uende tanga kupambana mm nakupa %40 zakufanikiwa ila pazur kuish mkata handen vijijin na kwamsisi had pangan kajarb huko lakin usiguse tanga mjini pagumu hao wanakupotosha aje anaeish tanga abishe hapa
 
Kwa gharama za kuishi Tanga ziko chini sana huwezi fananisha na Dar ila mzunguko nao uko chini kupata pesa ni ngumu labda uwe mwajiriwa utaenjoy sana.
 
Kwa gharama za kuishi Tanga ziko chini sana huwezi fananisha na Dar ila mzunguko nao uko chini kupata pesa ni ngumu labda uwe mwajiriwa utaenjoy sana.
Unaweza kunipa kwa wastani pato la chini sh ngp?
 
Tanga hii ya toka late 1980s na early 1990s mpaka kesho hakuna mabadiliko. Labda wendawazimu wa albadiri ndo wnaazidi kuongezeka.
 
Miaka michache iliyopita nilibahatika kuishi Tanga....Machache nayoyajua kuhusu Tanga.

1.Tanga kwa utafutaji bado wapi chini kuna bustani kama zote pale Tanga mjini unakuta mida ya kazi watu wamelala tu kwa ufupi ni wavivu wa Kazi.

2.Katika daladala unaweza ukajikuta abiria wawili au peke yako hasa mida ya mchana mfano ruti za raskazoni-nguvumali sijui kwasababu usafiri wa baskel kama wote

3.Mida ya saa 1 usiku kuna sehemu daladala kupata ni kwa shida naona wanakuwa wanafunga siku tofauti na Dar usafiri muda wote.

4.Kuna soko sijui ndio gulio panaitwa Tangamano kila siku ya jmosi,jumanne na Alhamisi.......unaweza kubahatisha kiatu/nguo/handbags kali kwa bei rahisi.

5.Tanga mjini barabara zake za mitaani nyingi zina rami.

6.Ila Tanga kuna watoto wazuri hatari.
Usisahau pia ni malaya na wachawi kishenzi yaani...
 
Mzee kama unaenda Tanga kutafuta maisha basi pole sana, sie wenye mji tumekimbia tupo Mbeya ila nikwambie tu Tanga pazuri sana ukienda Tanga mjini kuanzia kule chumba elfu 10 mpaka elfu 20 kina umeme ila cha kawaida ukiitaji chenye rangi singboard ni kuanzia 20 mpaka 30. Tanga hakuna tofauti sana na Dar, kule watu wavivu mzee siyo wachapakazi sana. Maisha yakule magumu kama upo Dar hakuna tofauti saana labda ukaishi vijijin mfano Mkata kwa msisi lakini Tanga mjini, Handeni mjini, Lushoto mjini maisha ni yaleyale kama Dar es saalam, kila lakher.
 
Kwa minchi nimekaa sana mitaa hiyo, na chuda. Tanga ukiwa na mtaji maisha ni marahisi sana, mji sio mkubwa na ni mji wa waswahili.
Mtaji kama wa shillingi ngapi mkuu?
 
Back
Top Bottom