😆😆😆 Yaan unasema tng hakuna tofauti na dsm ? Ndugu aacha kumpotosha huyu ndugu, yaan dar na tng ni mbingu na ardhi mzee, dar kumechangamka sana mishe mishe kibao tng hamna kitu mji upo doro, ukitika saa sita mchana kuelekea saa saba maduka yana fungwa kwenda kuswali au muhindi anaenda kupumzika mpaka saa 8 Dar upuuzi huo hakuna.mzee kama unaenda tanga kutafuta maisha bc pole sana sie wenye mji tumekimbia tupo mbeya ila nikwambie tyu tanga pazuri sana ukienda tanga mjin kuanzia kule chumba elf 10 mpaka elf 20 kina umeme ila chakawaida ukiitaj chenye rang singboard ni kuanzia 20 mpaka 30 tanga hakuna tofaut sana na dar kule watu wavivu mzee cyo wachapa kaz sana maisha yakule magumu kama upo dar hakuna tofaut saana labda ukaishi vijijin mfano mkata kwa msisi lakin tanga mjini handen mjini lushoto mjin maisha niyaleyale kma dar es saalam kila lakher
Mkuu Asante. Sehemu salama ya kuishi ni wapi?Mzee kama unaenda Tanga kutafuta maisha bc pole sana sie wenye mji tumekimbia tupo Mbeya ila nikwambie tyu Tanga pazuri sana ukienda Tanga mjin kuanzia kule chumba elf 10 mpaka elf 20 kina umeme ila chakawaida ukiitaj chenye rang singboard ni kuanzia 20 mpaka 30 Tanga hakuna tofaut sana na Dar kule watu wavivu mzee cyo wachapa kaz sana maisha yakule magumu kama upo Dar hakuna tofaut saana labda ukaishi vijijin mfano Mkata kwa msisi lakin Tanga mjini Handen mjini Lushoto mjin maisha niyaleyale kma Dar es saalam kila lakher
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji119][emoji119][emoji119]Mzee kama unaenda Tanga kutafuta maisha bc pole sana sie wenye mji tumekimbia tupo Mbeya ila nikwambie tyu Tanga pazuri sana ukienda Tanga mjin kuanzia kule chumba elf 10 mpaka elf 20 kina umeme ila chakawaida ukiitaj chenye rang singboard ni kuanzia 20 mpaka 30 Tanga hakuna tofaut sana na Dar kule watu wavivu mzee cyo wachapa kaz sana maisha yakule magumu kama upo Dar hakuna tofaut saana labda ukaishi vijijin mfano Mkata kwa msisi lakin Tanga mjini Handen mjini Lushoto mjin maisha niyaleyale kma Dar es saalam kila lakher
Hapo mwishoni hapo, hebu mfafanulie vizuri mtoa mada. Kwa nini akiingia tu Jijini Tanga, basi asitarajie tena KUTOKA? Anaweza kuogopa kuja Tanga.Bro maisha popote wasikutishe. Tupo Tanga na mambo yanaenda. Wa Dar wanaanza kurudi mdogo mdogo.
Sehemu salama kwa makazi ni Sahare, Chumbageni, Nguvumali, Kange uzunguni. Ole wako na Magomeni, Kwanjeka au Majengo.
Kula ya kawaida b/f 1000 lunch 1500 dinner 1500.
Usafiri ni daladala 400 boda ya ppl au baiskeli.
Uchumi ni biashara ya chakula (nafaka), matunda, samaki.
Lakini tu ukiingia HUTOKI
mie kwetu sahare mnazi mmoja,ila nimeukimbia mji kwa zaidi ya miaka 10 ,naenda Tanga kwa matukio maalumu 😄[emoji1][emoji1][emoji1][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi na majamaa ambao tumekua rika moa wote tumehama tanga.
Nyumbani Kwanjeka kule. Naenda kusalimia tu.
Singboard ndio nini tena???Mzee kama unaenda Tanga kutafuta maisha bc pole sana sie wenye mji tumekimbia tupo Mbeya ila nikwambie tyu Tanga pazuri sana ukienda Tanga mjin kuanzia kule chumba elf 10 mpaka elf 20 kina umeme ila chakawaida ukiitaj chenye rang singboard ni kuanzia 20 mpaka 30 Tanga hakuna tofaut sana na Dar kule watu wavivu mzee cyo wachapa kaz sana maisha yakule magumu kama upo Dar hakuna tofaut saana labda ukaishi vijijin mfano Mkata kwa msisi lakin Tanga mjini Handen mjini Lushoto mjin maisha niyaleyale kma Dar es saalam kila lakher
Wewe jamaa bhana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi na majamaa ambao tumekua rika moa wote tumehama tanga.
Nyumbani Kwanjeka kule. Naenda kusalimia tu.
Ceiling board.Singboard ndio nini tena???
Mwenye ufahamu tueleweshane hebu
Nyote mkikimbia mji itakuwaje??mie kwetu sahare mnazi mmoja,ila nimeukimbia mji kwa zaidi ya miaka 10 ,naenda Tanga kwa matukio maalumu 😄
Ohh kumbe.Ceiling board.
Mkuu muache jamaa, hukumlipia ada wewe.
Mji mgumu kama jiwe aisee.mie kwetu sahare mnazi mmoja,ila nimeukimbia mji kwa zaidi ya miaka 10 ,naenda Tanga kwa matukio maalumu [emoji1]