WINGER_TEREZA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 242
- 457
Kwani umeulizwa utaje mshahara wa mtu!!Ingekuwa wewe ndio mama Janeth ungerudi tena kufundisha baada ya mumeo ambae alikuwa raisi kufa?
Jibu lako ingekuwa ni wewe naamini pia ndio jibu la swali lako ulilouliza.
Zingatia pia kuwa mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi ni 320,000/
Hahahaha, sawa Mkuu kwa huo mshahara ulioweka hapo nimekuelwa.Ingekuwa wewe ndio mama Janeth ungerudi tena kufundisha baada ya mumeo ambae alikuwa raisi kufa?
Jibu lako ingekuwa ni wewe naamini pia ndio jibu la swali lako ulilouliza.
Zingatia pia kuwa mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi ni 320,000/
Na amekuwa Mstaafu"amestafishwa"
Kwani wapiga ramli ndio wanaopaswa kuulizwa maswali? Kama hutaki kuulizwa maswali uwe una soma comments na post tu sio lazima kila mada uchangie acha kujifanya unajua kila kitu.Tulikwambia sisi ni wapiga ramli?
Subiri amzike mumewe kisha uende ukamuulize huo upuuzi wako.
Ajataja mshahara wa mtu bali mshahara wa taaluma.Kwani umeulizwa utaje mshahara wa mtu!!
Hakunaga swali la kiboya hapo ila wewe ndio umeonesha uboya kwa kutojibu swali la msingi.Jamaa umeuliza swali la kiboya asee.
Kwa hio taaluma ya ualimu ndo hela wanayolipwa hio....??Ajataja mshahara wa mtu bali mshahara wa taaluma
Wewe, Kuna walimu shule ya Msingi wanakula hadi 2m, inategemea na umri kazini na elimu. Me mshua wangu anakula 1,300,000/- basic salary.Ingekuwa wewe ndio mama Janeth ungerudi tena kufundisha baada ya mumeo ambae alikuwa raisi kufa?
Jibu lako ingekuwa ni wewe naamini pia ndio jibu la swali lako ulilouliza.
Zingatia pia kuwa mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi ni 320,000/
Aisee tunachoshana....taaluma husika kulingana na level ya elimu ya taaluma husika.Kwa hio taaluma ya ualimu ndo hela wanayolipwa hio....??
Najua deep down umejua kua swali lako ni la kijjnga ndio maana unapanic,Kwani wapiga ramli ndio wanaopaswa kuulizwa maswali?, kama hutaki kuulizwa maswali uwe una soma comments na post tu sio lazima kila mada uchangie acha kujifanya unajua kila kitu.
Una mkopo nmbIngekuwa wewe ndio mama Janeth ungerudi tena kufundisha baada ya mumeo ambae alikuwa raisi kufa?
Jibu lako ingekuwa ni wewe naamini pia ndio jibu la swali lako ulilouliza.
Zingatia pia kuwa mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi ni 320,000/