Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Hawezi rudi kufundisha
Maswali ya kitoto.Wanajamvi habarini, ama baada ya salam naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada yangu. Kwa ninavyofahamu mke wa hayati John Magufuli, Janeth Magufuli, alikuwa Mwalimu na kama sijakosea alikuwa ni Mwalimu wa shule ya Msingi ila alikoma kushika chaki mara tu baada ya Hayati Magufuli kushinda uchaguzi na kuwa Raisi wa Tanzania mnamo mwaka 2015. Nadhani "alistafishwa" kushika chaki ili apate mda wa kutosha wa kukitumikia cheo chake kipya cha "first lady" alichokipata baada ya Mumewe kushika wadhifa wa Uraisi.
Sasa nigependa kufahamu vipi our former first lady, Janeth Magufuli, atarudi Shuleni kuendeleza majukumu yake aliyokuwa "amestafishwa" ya Ualimu mara baada ya cheo chake cha "first lady" kukoma kutokana na msiba wa Mume wake ambaye alikuwa ni Raisi wetu mpendwa? au atakaa tu nyumbani na kula pensheni au hapo inakuwaje wajuvi?
Asante, naomba kuwasilisha
No.Wanajamvi habarini, ama baada ya salam naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada yangu. Kwa ninavyofahamu mke wa hayati John Magufuli, Janeth Magufuli, alikuwa Mwalimu na kama sijakosea alikuwa ni Mwalimu wa shule ya Msingi ila alikoma kushika chaki mara tu baada ya Hayati Magufuli kushinda uchaguzi na kuwa Raisi wa Tanzania mnamo mwaka 2015. Nadhani "alistafishwa" kushika chaki ili apate mda wa kutosha wa kukitumikia cheo chake kipya cha "first lady" alichokipata baada ya Mumewe kushika wadhifa wa Uraisi.
Sasa nigependa kufahamu vipi our former first lady, Janeth Magufuli, atarudi Shuleni kuendeleza majukumu yake aliyokuwa "amestafishwa" ya Ualimu mara baada ya cheo chake cha "first lady" kukoma kutokana na msiba wa Mume wake ambaye alikuwa ni Raisi wetu mpendwa? au atakaa tu nyumbani na kula pensheni au hapo inakuwaje wajuvi?
Asante, naomba kuwasilisha
Sio suala la mshahara ni suala na heshima.Wewe, Kuna walimu shule ya Msingi wanakula hadi 2m, inategemea na umri kazini na elimu. Me mshua wangu anakula 1,300,000/- basic salary.
Mkuu inategemea kiporo gani, umeshawahi kula kiporo cha wali maharage au nyama na chai ya rangi iliyokolea sukari?Hii ndo tabu ya kula kiporo asubuhi na chai ya rangi
Duh!!!Hakunaga swali la kiboya hapo ila wewe ndio umeonesha uboya kwa kutojibu swali la msingi
Hahahaha, ila nahisi ameyaja mshahara wa mtu maana kuna watu wako katika hilo hilo taaluma ila wanapokea laki sita na ushee au zaidi ya hapo kulingana na elimu yako auAjataja mshahara wa mtu bali mshahara wa taaluma
Majibu ya kitoto kutojibu swala la Msingi.Maswali ya kitoto.
Some people will never grow up!
Acha kudanganya watuWewe, Kuna walimu shule ya Msingi wanakula hadi 2m, inategemea na umri kazini na elimu. Me mshua wangu anakula 1,300,000/- basic salary.
Ataendelea Kushika Chaki ikitokea/ labda Chuo Kikuu.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajamvi habarini, ama baada ya salam naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada yangu. Kwa ninavyofahamu mke wa hayati John Magufuli, Janeth Magufuli, alikuwa Mwalimu na kama sijakosea alikuwa ni Mwalimu wa shule ya Msingi ila alikoma kushika chaki mara tu baada ya Hayati Magufuli kushinda uchaguzi na kuwa Raisi wa Tanzania mnamo mwaka 2015. Nadhani "alistafishwa" kushika chaki ili apate mda wa kutosha wa kukitumikia cheo chake kipya cha "first lady" alichokipata baada ya Mumewe kushika wadhifa wa Uraisi.
Sasa nigependa kufahamu vipi our former first lady, Janeth Magufuli, atarudi Shuleni kuendeleza majukumu yake aliyokuwa "amestafishwa" ya Ualimu mara baada ya cheo chake cha "first lady" kukoma kutokana na msiba wa Mume wake ambaye alikuwa ni Raisi wetu mpendwa? au atakaa tu nyumbani na kula pensheni au hapo inakuwaje wajuvi?
Asante, naomba kuwasilisha
Kwahy na ulinzi atakua nao kama kawaida mkuu?Sio suala la mshahara ni suala na heshima.
Hadhi yake ni kubwa sana.hawezi kusimamiwa na afisa elimu.
Hilo sina hakika.Kwahy na ulinzi atakua nao kama kawaida mkuu?