Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Wanawake mmeshashika dola sasa
Muache kutuomba na ya kutolea
Muache kutuomba na ya kutolea
Mama Anna alikuwa nani baada ya Mkapa kustaafu?Hawez kukaa home soon Utasikia ni mkuu wa chuo au mbunge viti maalum
Yah ulinzi wa kawaida wa polisiKwahy na ulinzi atakua nao kama kawaida mkuu?
😂 😂 😂Jamaa umeuliza swali la kiboya asee.
Hivi anaweza kuongea kweli???Ata pewa ubunge vita maalumu kama MAMA SALMA KIKWETE.
baadaye ata mtoa medadi kalemani na KUGOMMBEA UBUNGE awe mbuge then waziri.
YUKO HURU KWA ATAKAYE HITAJI KUMUOA......!