Naomba kufahamishwa kuhusu hili juu ya former first lady, Janeth Magufuli

Kustaafishwa ni kustaafu kama kustaafu kwingine hivyo ni mstaafu hawezi kurudi, pia hawezi kurudi kimaslahi kwa sababu maslahi ya U-mke wa rais ni manono kuliko ya ualimu
Lakini pia kwa umri wa mama ameshafikisha umri wa kustaafu, naambiwa ana 60yrs

Labda arudi kama hobbie
 
Maswali ya kitoto.
Some people will never grow up!
 
Nahudumiwa kila kitu maisha yangu yote nirudi kushika chaki kweli? Hapana.
Ila ni yeye na maamuzi yake

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
No.

Dismiss case.
 
Maswali ya kijinga sana,watu km ninyi tuna wasiwasi na vinasaba vyenu, inawezekana una vinasaba vya kuku ambaye hajui uchungu wa kifo.
 
Ataendelea Kushika Chaki ikitokea/ labda Chuo Kikuu.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani yeye hakufanikiwa kuanzisha eni jii oo ili azisimamie baada ya u festi lede?
 
Ataendelea kufundisha wajukuu nyumban baada ya chai.

NB;Siku nyingne usiulize upuuzi kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…