Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,785
- 21,030
ndio ikurudishe kufundisha baada ya kuwa first lady?Wewe, Kuna walimu shule ya Msingi wanakula hadi 2m, inategemea na umri kazini na elimu. Me mshua wangu anakula 1,300,000/- basic salary.
kama nimetaja mshahara wako nisamehe mkuu.Kwani umeulizwa utaje mshahara wa mtu!!
😂😂Ok...Aisee tunachoshana....taaluma husika kulingana na level ya elimu ya taaluma husika.
Hamna...mi mshahara wangu ni laki na nusu tu...Huko umeniweka juu sanakama nimetaja mshahara wako nisamehe mkuu.
Mwalimu wa shule gan anayelamba huo mshahara? Tatizo tz wajuaji Ni wengi Sana alafu na ukilaza juu, mwalimu wa cheti anaanza na 460000 akikatwa analamba 380000 kumbuka ndie anaanza ,so kwa janeth mpaka saiz angekuwa adhapamba madaraja Kama yote na kuishia daraja G Kama hakujiendeleza ambapo mpka saiz anapaswa awe na mshahara wa milion mbili kasoro ,.Ingekuwa wewe ndio mama Janeth ungerudi tena kufundisha baada ya mumeo ambae alikuwa raisi kufa?
Jibu lako ingekuwa ni wewe naamini pia ndio jibu la swali lako ulilouliza.
Zingatia pia kuwa mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi ni 320,000/
We boya kweli wewe SI ndie umetaja na mshahara wa mwalimu kwa lengo kuwa hautoshi ,dhana yako umeiweka kimaslahi badala uiweke kwenye status ,Maana kwa huyo mama kwasasa hawez kupelekeshwa na afisa elimu ,kwakifupi hata angelipwa m8 hawez kuwa chini ya afisa elimu Maana huyo Ni mtu mkubwa Sana kwa hadhi ya kusimamiwa na afisa elimu.ndio ikurudishe kufundisha baada ya kuwa first lady?
Boya tena? Basi sawa. Na huo ndio ukomo wa fikra zako.We boya kweli wewe SI ndie umetaja na mshahara wa mwalimu kwa lengo kuwa hautoshi ,dhana yako umeiweka kimaslahi badala uiweke kwenye status ,Maana kwa huyo mama kwasasa hawez kupelekeshwa na afisa elimu ,kwakifupi hata angelipwa m8 hawez kuwa chini ya afisa elimu Maana huyo Ni mtu mkubwa Sana kwa hadhi ya kusimamiwa na afisa elimu.
Upunguzage ukilaza
Mimi ni mtumishi, kwenye ualimu madaraja ya mishahara yaan TGTS, Wa Degree anaanza TGTSD, Hawa wengi ni sekondari, ambao Ni laki 7 na kidogo. Walimu wenye umri Kama mama Janet hata Kama ana certificate, possibly atakuwa anacheza TGTSF au TGTSG ambayo Ni 1.3M hadi 1.6M.Acha kudanganya watu
Kichwa chako kimejaa kamasi tu ,Boya tena? Basi sawa. Na huo ndio ukomo wa fikra zako.
Ni dhahiri wewe ni teacher na umehisi kutukanwa kwa kushushiwa mshahara wako.Mwalimu wa shule gan anayelamba huo mshahara? Tatizo tz wajuaji Ni wengi Sana alafu na ukilaza juu, mwalimu wa cheti anaanza na 460000 akikatwa analamba 380000 kumbuka ndie anaanza ,so kwa janeth mpaka saiz angekuwa adhapamba madaraja Kama yote na kuishia daraja G Kama hakujiendeleza ambapo mpka saiz anapaswa awe na mshahara wa milion mbili kasoro ,.
Ivi we kima unajua Kuna Walimu wanalamba salary ya 2.8 per month?
Endeleen kukariri kuwa mwalimu analipwa 320000.
Nimelelewa na Walimu na kusomeshwa na Walimu so mishahara yao naijua nje ndani tofaut na wewe unakuja kuandika vitu usivyovijua ,na ulikuwa na lengo la kubeza salary ya mwalimu wazwaz ukijua watu watakuunga mkono ,Ni dhahiri wewe ni teacher na umehisi kutukanwa kwa kushushiwa mshahara wako.
Basi mkuu, walimu wanapokea mamilioni. Nisamehe teacher.
Hii ni kufa kufaanaFirst Lady anaendelea kutunzwa na kuopata mshahara na marupurupu kama yalivyo kwa mke wa rais mstaafu.
Urais ni ajira ya kudumu kwa mme na mke.
Athari ya hii mitandao, unaweza kuta nabishana na kichoko fulani hivi kinachouza matako kwa kufikiri kuwa najibu mtu mwenye akili zake timamu.Kichwa chako kimejaa kamasi tu ,
Kwa umri wake huyo mama alipaswa awe daraja G ambapo salary yake Ni milion 2 kasoroMimi ni mtumishi, kwenye ualimu madaraja ya mishahara yaan TGTS, Wa Degree anaanza TGTSD, Hawa wengi ni sekondari, ambao Ni laki 7 na kidogo. Walimu wenye umri Kama mama Janet hata Kama ana certificate, possibly atakuwa anacheza TGTSF ambayo Ni 1.3M.
Wewe ndie kichoko kwa akili Kama zako Ni waz una manuliwa na wanaume wenzio ,sasa kijitu Kama wewe umejaa fikra za kishamba na kukariri kuwa walimu Wana salary fulan as if ushawah gusa hata salary slip ya mwalimu.Athari ya hii mitandao, unaweza kuta nabishana na kichoko fulani hivi kinachouza matako kwa kufikiri kuwa najibu mtu mwenye akili zake timamu.
Sawa mimi kichwa changu kimejaa kamasi. Hongera wewe mwenye kichwa kilichojaa manii ya wanaume wenzio
Kwani yeye hakufanikiwa kuanzisha eni jii oo ili azisimamie baada ya u festi lede?
Nahudumiwa kila kitu maisha yangu yote nirudi kushika chaki kweli? Hapana.
Ila ni yeye na maamuzi yake
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Sio vizurui kutangaza biashara yako ya ushoga kipindi hiki cha maombolezo boya weweAlikuwa amezubaa sana, si unajua waliamini JPM for LIFE!!
Sisi mashoga yaani hali mbaya, maisha yanazidi kuwa magumu na mtetezi katutoka![emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app