GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kuhusu upatikanaji zinapatikana Arusha.1. Kutahitajika kiasi gani kwa ajili ya kupanda eka 20?
2. Inapatikana wapi mkoani Mwanza au mikoa ya jirani?
πππ
Nashukuru sana mkuuπKuhusu upatikanaji zinapatikana Arusha.
MEngine watajibu wengine
Usijali mkuu.Nashukuru sana mkuuπ
Barikiwa mno!
Inaelekea Wakulima wengi wa Tanzania bado "hawajaligundua" hilo zao. Naamini linaweza kustawi katika maeneo mengi ya Tanzania.Usijali mkuu.
NGwara soko lake kubwa ni Nairobi, wakati wa mavuno wanunuzi toka Nairobi hujaa Arusha
Kwa Kigoma sidhani! "Ninahisi" tu lakini!Kigoma pia waweza zipata
Zao pendwa huko kwenya, ndio maharage yao ya asili, ukiweza kula hayo maharage kama yamepikwa na mkenya, hakika hakuna chakula dunia hii kitakachokushinda kula1. Kutahitajika kiasi gani kwa ajili ya kupanda eka 20?
2. Inapatikana wapi mkoani Mwanza au mikoa ya jirani?
πππ
Unaweza kuyakuta kwenye mighahawa ya nchini Kenya?Zao pendwa huko kwenya, ndio maharage yao ya asili, ukiweza kula hayo maharage kama yamepikwa na mkenya, hakika hakuna chakula dunia hii kitakachokushinda kula
Kwenye migahawa sidhani, ila labda iwe mighahawa ya wazawa au wakenya wenyewe.Unaweza kuyakuta kwenye mighahawa ya nchini Kenya?
Sipo Arusha mkuu. Hata hivyo nimeshaongea na mtu aliyeko Arusha akaniangalizie Soko Kuu Arusha.Kwenye migahawa sidhani, ila labda iwe mighahawa ya wazawa au wakenya wenyewe.
Hayo maharage nikama chakula chao cha asili, Wewe wataka maharage kiasi gani?
Umejarubu kuangalia hapo arusha, maana nakumbuka kipindi flani niliwahi kuyakuta Soko kuu wanayauza
Wahitaji KG ngapiSipo Arusha mkuu. Hata hivyo nimeshaongea na mtu aliyeko Arusha akaniangalizie Soko Kuu Arusha.
Nashukuru sana mkuuπUpatikanaji wake kwa Sasa umekuwa mgumu maana wakulima wengi hawapandi kutokana na soko lake kuyumba ivyo wameenda kwenye Mbaazi lakini unaweza kuipata maeneo ya Babati, Manyara au Singida
Kuna aina tatu za Ngwara ambazo ni Nyeupe, Nyeusi na langi ya udongo
Ivyo ukiwa kama mkulima inabidi ijue ipi inapendelewa sokoni maana kwa upande wa Singida wanapenda iyo langi ya udongo kuliko Nyeusi
Pia unaweza kuipanda yenyewe ama ukachanganya na Mahindi
Huwa zinapandwa katikati ya msimu maana ukiwai sana huwa zinaharibiwa na mvua
Za kutosha eka 20 mkuu.Wahitaji KG ngapi
Pamoja MkuuNashukuru sana mkuu[emoji120]
πππPamoja Mkuu
Ukisema zakutosha 20 eka sijajua ni kiasi gani utataka kuotesha. Let say 100kg is it enough?Za kutosha eka 20 mkuu.