Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado namtafuta mzoefu wa kunielekeza, lakini nahisi huenda zikahitajika zaidi ya kilo 100.Ukisema zakutosha 20 eka sijajua ni kiasi gani utataka kuotesha. Let say 100kg is it enough?
Ngoja labda nikuambie mtafute mtu anayelima maarage halafu umwombe hesabu zake za heka moja, then ndio uje kwenye hesabu yako na ufanye estimationBado namtafuta mzoefu wa kunielekeza, lakini nahisi huenda zikahitajika zaidi ya kilo 100.