Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 26, 2023 #21 Ngoja waje kukupa muongozo...
GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Jan 5, 2024 Thread starter #22 The Knowledge Seeker said: Ukisema zakutosha 20 eka sijajua ni kiasi gani utataka kuotesha. Let say 100kg is it enough? Click to expand... Bado namtafuta mzoefu wa kunielekeza, lakini nahisi huenda zikahitajika zaidi ya kilo 100.
The Knowledge Seeker said: Ukisema zakutosha 20 eka sijajua ni kiasi gani utataka kuotesha. Let say 100kg is it enough? Click to expand... Bado namtafuta mzoefu wa kunielekeza, lakini nahisi huenda zikahitajika zaidi ya kilo 100.
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jan 5, 2024 #23 Majibu yapo google kujua ni kilo ngapi unahitaji
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 3,418 Reaction score 5,028 Jan 5, 2024 #24 GoldDhahabu said: Bado namtafuta mzoefu wa kunielekeza, lakini nahisi huenda zikahitajika zaidi ya kilo 100. Click to expand... Ngoja labda nikuambie mtafute mtu anayelima maarage halafu umwombe hesabu zake za heka moja, then ndio uje kwenye hesabu yako na ufanye estimation
GoldDhahabu said: Bado namtafuta mzoefu wa kunielekeza, lakini nahisi huenda zikahitajika zaidi ya kilo 100. Click to expand... Ngoja labda nikuambie mtafute mtu anayelima maarage halafu umwombe hesabu zake za heka moja, then ndio uje kwenye hesabu yako na ufanye estimation