Naomba kufahamishwa kuhusu PIXIE ORANGES

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Yanapatikana kwa wingi nchini Kenya. Naamini na hapa kwetu Tz kuna watu wanaoyalima.

Sina uhakika kama nimeshayala. Lakini leo katika kupitia makala za kilimo, nimekutana na mada inayoihusu.

Nimeshangazwa kusoma kwamba hayana mbegu. Ni kweli ndivyo yalivyo? Yana uhusiano wowote na GMO?

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
images (10).jpeg
 
Ni GMO pure mkuu kwa tz bado Kuna machungwa mazuri TU kutoka Tanga endelea kufurahia matunda Bora
Ya GMO yana madhara gani mkuu? Yanaonekana yana soko sana. Kule Kenya yametamalaki. Kuna mkulima mmoja ana ekari zaidi ya kumi, anaingiza mamilioni mengi tu ya shilingi za Kenya. Kwa kifupi, ametajirika kupitia PIXIE ORANGES.
 
Siwezi jibia upande wa madhara na huenda hayana kabisa madhara Bali faida kwa mwili wa binadam nadhani endelea kujielimisha
Ila nachojua ni kwamba GMO zote huwa hazina uwezo wa ku reproduce hivyo zitapelekea siku za usoni kuwa na upungufu wa chakula ila mwilini sidhani kama madhara ni makubwa
 
Yanapatikana kwa wingi nchini Kenya. Naamini na hapa kwetu Tz kuna watu wanaoyalima.

Sina uhakika kama nimeshayala. Lakini leo katika kupitia makala za kilimo, nimekutana na mada inayoihusu.

Nimeshangazwa kusoma kwamba hayana mbegu. Ni kweli ndivyo yalivyo? Yana uhusiano wowote na GMO?

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nani kakuambia kila kisicho na mbegu ni GMO ni nani? na nani kakuambia GMO ni mimea isiyo kuwa na mbegu? Hii nchi ina vituko sana.

Chungwa Seedless yamekuwepo tangu miaka ya 1800 na chungwa la aina hio kwa mara ya kwanza lilikugunduliwa kwenye shamba moja huko brazili miaka hio kwa sababu ya mutation.

Baada ya hapo watu wakaanza sasa kukata mti huo na kupandikiza.

GMO techinology imeanza miaka ya 1970+ na mpaka kuja kuanza kwenye mimea ni juzi kati.

Grapes zababu seedless zipo miaka 6000 iliopita na sababuni hio hio ya mutation.
 
Ya GMO yana madhara gani mkuu? Yanaonekana yana soko sana. Kule Kenya yametamalaki. Kuna mkulima mmoja ana ekari zaidi ya kumi, anaingiza mamilioni mengi tu ya shilingi za Kenya. Kwa kifupi, ametajirika kupitia PIXIE ORANGES.
Hakuna cha GMO, watu hawana uelewa na plants wana apply political Science kwenye mambo ya Plants. hayo machungwa ni ya kitambo sana hata Tanzania yapo enzi za wamisionaries.
 
Seedless Oranges kwanza zipo kitambo sana baadhi ya maenei walio kaaa Wamisionaries waliotesha pia haya machungwa, binafisi kuna sehemu walikuwa wanaishi wazungu tulikuwa tunaenda kuyaiba hapo ni miaka ya 80+ GMO kwenye plants haina muda mrefu, Seedless zipo kitambo sana, mfano Grapes seedless ndio za kitambo mno.

Pia kuna watu wanazania GMO ni mimea au matunda yasio kuwa na mbegu, hizi shule sijui wametoa wapi.

Tafuta watalamu wa mimea wakupe shule juu ya Seedless, Hybrid na GMO, make hivi vitu watu kwa stories za vijiwe vya kahawa wanadanganywa sana.

Seedless Oranges kuna Pixie, kuna Washi gton Navel, kuna Mioneola, kuna Clementine zote hizo ni seedlesss kuna Tangarine
 
Matunda seedless hayana uhusiano na GMO
 
Ni GMO pure mkuu kwa tz bado Kuna machungwa mazuri TU kutoka Tanga endelea kufurahia matunda Bora
Siyo GMO mkuu. Nimecheki mtandaoni.

Kuhusu machungwa ya Tanga, ni kweli ni matamu, au yalikuwa matamu, lakini ya siku hizi, hasa yanayokuja kanda ya Ziwa siyo matamu kama ya zamani.

Na mengine hayana juisi nyingi. Unakuta upande mmoja ni kama sponchi, hakuna juisi kabisa.
 
Back
Top Bottom