GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #21
Hayahusiani na GMO mkuu.Umeshasema hayana mbengu? ..hiyo ni GMO
Lakini pia, kwa nini products za GMO zinapigwa vita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayahusiani na GMO mkuu.Umeshasema hayana mbengu? ..hiyo ni GMO
🤣🤣🤣Hayo machungwa ni matamu kweli ?! Alafu hayana mbegu duh.
Watakuja leta machungwa hayana MAGANDA sasa yaani hakuna haja ya kumenya.
🙏🙏🙏Siwezi jibia upande wa madhara na huenda hayana kabisa madhara Bali faida kwa mwili wa binadam nadhani endelea kujielimisha
Ila nachojua ni kwamba GMO zote huwa hazina uwezo wa ku reproduce hivyo zitapelekea siku za usoni kuwa na upungufu wa chakula ila mwilini sidhani kama madhara ni makubwa
Ni kweli mkuu🙏🙏🙏Hakuna cha GMO, watu hawana uelewa na plants wana apply political Science kwenye mambo ya Plants. hayo machungwa ni ya kitambo sana hata Tanzania yapo enzi za wamisionaries.
🙏🙏🙏Matunda seedless hayana uhusiano na GMO
🙏🙏🙏Seedless Oranges kwanza zipo kitambo sana baadhi ya maenei walio kaaa Wamisionaries waliotesha pia haya machungwa, binafisi kuna sehemu walikuwa wanaishi wazungu tulikuwa tunaenda kuyaiba hapo ni miaka ya 80+ GMO kwenye plants haina muda mrefu, Seedless zipo kitambo sana, mfano Grapes seedless ndio za kitambo mno.
Pia kuna watu wanazania GMO ni mimea au matunda yasio kuwa na mbegu, hizi shule sijui wametoa wapi.
Tafuta watalamu wa mimea wakupe shule juu ya Seedless, Hybrid na GMO, make hivi vitu watu kwa stories za vijiwe vya kahawa wanadanganywa sana.
Seedless Oranges kuna Pixie, kuna Washi gton Navel, kuna Mioneola, kuna Clementine zote hizo ni seedlesss kuna Tangarine
🙏🙏🙏Alie kuambia GMO ni matunda yasio kuwa ba mbegu ni nani? auna elimu ya mambi ya Plants mkuu? Tafura mtu mwenye uelewa wa mambo ya plants akueleweshe nini maana ya Seedless na nini GMO na nini Hybrid
Basi hiyo ni fursa unachosema ni kweli machungwa mazuri ni bahati nasibuSiyo GMO mkuu. Nimecheki mtandaoni.
Kuhusu machungwa ya Tanga, ni kweli ni matamu, au yalikuwa matamu, lakini ya siku hizi, hasa yanayokuja kanda ya Ziwa siyo matamu kama ya zamani.
Na mengine hayana juisi nyingi. Unakuta upande mmoja ni kama sponchi, hakuna juisi kabisa.
Sio mazuri wakenya wengi wanafuata machungwa huku tz hata kabla hayajakomaa vizuri wananunuaYanapatikana kwa wingi nchini Kenya. Naamini na hapa kwetu Tz kuna watu wanaoyalima.
Sina uhakika kama nimeshayala. Lakini leo katika kupitia makala za kilimo, nimekutana na mada inayoihusu.
Nimeshangazwa kusoma kwamba hayana mbegu. Ni kweli ndivyo yalivyo? Yana uhusiano wowote na GMO?
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sio mazuri wakenya wengi wanafuata machungwa huku tz hata kabla hayajakomaa vizuri wananunua
Ila jamani mbona machungwa ya sasa hayana ladha kabisa.... Ukilinganisha na machungwa tumekula utotoni??Ni GMO pure mkuu kwa tz bado Kuna machungwa mazuri TU kutoka Tanga endelea kufurahia matunda Bora
Haya matamu na yako na vitamin C ,Beta carotene ya kutosha tuAha kumbe siyo ya GMO. Ni matamu sasa ?
Sikuhizi kunaIla jamani mbona machungwa ya sasa hayana ladha kabisa.... Ukilinganisha na machungwa tumekula utotoni??
Ladha yake ya asili ibaki pale pale bwana lakini...Sikuhizi kuna
1.Machungwa - SUGARLESS
2. Embe - SUGARLESS
3. Nanasi. - SUGARLESS
4.Ndizi malind na mzuzu -SUGARLESS
5.MIWA - SUGARLESS halafu full of good natural smell ya Sunday halisi.
Pia kuna -:
Maparachichi - CREAMLESS
Kiukweli hivi vitu ni kama vipo pair kuna vyenye ladha na ambavyo havina ladha wala harufunzuri