GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ishawekwa mkuu na Evelyn Salt.Weka picha mkuu tafadhali.
Mkuu, nashukuru sana kwa pichaπππ
Ya GMO yana madhara gani mkuu? Yanaonekana yana soko sana. Kule Kenya yametamalaki. Kuna mkulima mmoja ana ekari zaidi ya kumi, anaingiza mamilioni mengi tu ya shilingi za Kenya. Kwa kifupi, ametajirika kupitia PIXIE ORANGES.Ni GMO pure mkuu kwa tz bado Kuna machungwa mazuri TU kutoka Tanga endelea kufurahia matunda Bora
Siwezi jibia upande wa madhara na huenda hayana kabisa madhara Bali faida kwa mwili wa binadam nadhani endelea kujielimishaYa GMO yana madhara gani mkuu? Yanaonekana yana soko sana. Kule Kenya yametamalaki. Kuna mkulima mmoja ana ekari zaidi ya kumi, anaingiza mamilioni mengi tu ya shilingi za Kenya. Kwa kifupi, ametajirika kupitia PIXIE ORANGES.
Nani kakuambia kila kisicho na mbegu ni GMO ni nani? na nani kakuambia GMO ni mimea isiyo kuwa na mbegu? Hii nchi ina vituko sana.Yanapatikana kwa wingi nchini Kenya. Naamini na hapa kwetu Tz kuna watu wanaoyalima.
Sina uhakika kama nimeshayala. Lakini leo katika kupitia makala za kilimo, nimekutana na mada inayoihusu.
Nimeshangazwa kusoma kwamba hayana mbegu. Ni kweli ndivyo yalivyo? Yana uhusiano wowote na GMO?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
na wewe unaweza kuta ni mtu umeenda shule, aiseee kazi kweli kweliNi GMO pure mkuu kwa tz bado Kuna machungwa mazuri TU kutoka Tanga endelea kufurahia matunda Bora
Alie kuambia GMO ni matunda yasio kuwa ba mbegu ni nani? auna elimu ya mambi ya Plants mkuu? Tafura mtu mwenye uelewa wa mambo ya plants akueleweshe nini maana ya Seedless na nini GMO na nini HybridUmeshasema hayana mbengu? ..hiyo ni GMO
Machungwa yapo kitambo mno mno, kabka hata Techinolojia ya GMO haijaanza,Hayo machungwa ni matamu kweli ?! Alafu hayana mbegu duh.
Watakuja leta machungwa hayana MAGANDA sasa yaani hakuna haja ya kumenya.
Hakuna cha GMO, watu hawana uelewa na plants wana apply political Science kwenye mambo ya Plants. hayo machungwa ni ya kitambo sana hata Tanzania yapo enzi za wamisionaries.Ya GMO yana madhara gani mkuu? Yanaonekana yana soko sana. Kule Kenya yametamalaki. Kuna mkulima mmoja ana ekari zaidi ya kumi, anaingiza mamilioni mengi tu ya shilingi za Kenya. Kwa kifupi, ametajirika kupitia PIXIE ORANGES.
Matunda seedless hayana uhusiano na GMOSeedless Oranges kwanza zipo kitambo sana baadhi ya maenei walio kaaa Wamisionaries waliotesha pia haya machungwa, binafisi kuna sehemu walikuwa wanaishi wazungu tulikuwa tunaenda kuyaiba hapo ni miaka ya 80+ GMO kwenye plants haina muda mrefu, Seedless zipo kitambo sana, mfano Grapes seedless ndio za kitambo mno.
Pia kuna watu wanazania GMO ni mimea au matunda yasio kuwa na mbegu, hizi shule sijui wametoa wapi.
Tafuta watalamu wa mimea wakupe shule juu ya Seedless, Hybrid na GMO, make hivi vitu watu kwa stories za vijiwe vya kahawa wanadanganywa sana.
Seedless Oranges kuna Pixie, kuna Washi gton Navel, kuna Mioneola, kuna Clementine zote hizo ni seedlesss kuna Tangarine
Wapumbavu wa TaifaNi GMO pure mkuu kwa tz bado Kuna machungwa mazuri TU kutoka Tanga endelea kufurahia matunda Bora
Aha kumbe siyo ya GMO. Ni matamu sasa ?Machungwa yapo kitambo mno mno, kabka hata Techinolojia ya GMO haijaanza,
Siyo GMO mkuu. Nimecheki mtandaoni.Ni GMO pure mkuu kwa tz bado Kuna machungwa mazuri TU kutoka Tanga endelea kufurahia matunda Bora