Naomba kufahamishwa kuhusu PIXIE ORANGES

Hayo machungwa ni matamu kweli ?! Alafu hayana mbegu duh.

Watakuja leta machungwa hayana MAGANDA sasa yaani hakuna haja ya kumenya.
🀣🀣🀣

Mambo ya Teknolojia mkuu. Watu wanafikiria.
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hakuna cha GMO, watu hawana uelewa na plants wana apply political Science kwenye mambo ya Plants. hayo machungwa ni ya kitambo sana hata Tanzania yapo enzi za wamisionaries.
Ni kweli mkuuπŸ™πŸ™πŸ™
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Alie kuambia GMO ni matunda yasio kuwa ba mbegu ni nani? auna elimu ya mambi ya Plants mkuu? Tafura mtu mwenye uelewa wa mambo ya plants akueleweshe nini maana ya Seedless na nini GMO na nini Hybrid
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Basi hiyo ni fursa unachosema ni kweli machungwa mazuri ni bahati nasibu
 
Ukizitaka Pixie nicheki, mche sh 6000@ Pixie ni cross ya Tangarine na sweet Oranges. Pixie ni machungwa kwa ajili ya Juice na ndio maaana unayakuta kwenye Masuper Market. Hizi za Tanga hazifai kwa juice kwa sababu zina mbegu.

0783691072
 
Sio mazuri wakenya wengi wanafuata machungwa huku tz hata kabla hayajakomaa vizuri wananunua
 
Ni GMO pure mkuu kwa tz bado Kuna machungwa mazuri TU kutoka Tanga endelea kufurahia matunda Bora
Ila jamani mbona machungwa ya sasa hayana ladha kabisa.... Ukilinganisha na machungwa tumekula utotoni??
 
Ila jamani mbona machungwa ya sasa hayana ladha kabisa.... Ukilinganisha na machungwa tumekula utotoni??
Sikuhizi kuna
1.Machungwa - SUGARLESS
2. Embe - SUGARLESS
3. Nanasi. - SUGARLESS
4.Ndizi malind na mzuzu -SUGARLESS
5.MIWA - SUGARLESS halafu full of good natural smell ya Sunday halisi.
Pia kuna -:
Maparachichi - CREAMLESS
Kiukweli hivi vitu ni kama vipo pair kuna vyenye ladha na ambavyo havina ladha wala harufunzuri
 
Ladha yake ya asili ibaki pale pale bwana lakini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…